Search results

  1. M

    Madereva wa Tanzania wanafungwa kwa kasi nchini Rwanda

    Jamani hivi serikali ya Tanzania inajua jinsi madreva wa kitanzania wanavyofungwa kwa kasi nchini Rwanda kwa makosa ya kubambikizwa ikiwemo makosa ya kubeba bangi inayopandikizwa na vyombo vya usalama vya Rwanda. Maana kuna malalamiko kuwa hao madreva hubambikiwa hiyo mizigo pindi...
  2. M

    CHADEMA yakimbiwa na wasomi, Katibu CHASO ahamia CCM

    Huyu Kalemela ni mbabaishaji tu kwanza kilicho mrudisha CCM kaogopa kupewa PI na Uhamiaji kajanjaruka mapema maana nni Mnyarwanda mie namfahamu fika na kama anabishia nilichokiandika aje athibitishe uraia wake. Kaona huku atakuja kuumbuliwa bure karudi kwenye chaka ili afiche Unyarwanda wake...
  3. M

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    namuunga mkono Mtikila asilimia 100 mf, cheki Idara za Serikali Police, magereza, Jwtz wakurugenzi kama aliyestaafu sengerema mwaka jana nenda SUA mwanza jiji, jamaa wa juzi aliyekuwa anatetewa na Mh, Kagasheki kule Bukoba Mh, Chagonja na na mkewe ambae kajipenyeza na na kuwaingiza jeshini...
  4. M

    CHADEMA yaijibu JWTZ

    mbona kuna wanajeshi bado ni wanachama wa vyama vya siasa mfano wa wazi ni Capt, John Komba bado ni mwanajeshi na mwanachama wa CCM maana hajastaafu jeshi mbona jeshi halijamtoa kazini au halijamtimua
  5. M

    CHADEMA chukueni jimbo la Ngara lipo wazi

    sisi wakazi wa NGARA tunaawalika CHADEMA na M4C muweze kupiga kambi ya wiki moja ndani ya wilaya yetu na kata zake ili mchukue jimbo hili mwka 2015. Jimbo hili liko wazi kufuatia Mbunge wetu kushindwa hata kufika kuwaona wananchi wake ambao wanaendeea kutaabika huku wakiona mbunge wao...
  6. M

    Polisi wawili wauawa kwa mapanga na wananchi wenye hasira Ngara; kituo cha polisi chachomwa moto!

    jamani habari za kuaminaka kutoka Ngara zinasema kuwa askari polisi kitengo cha trafiki kamuua raia kwa risasi baada ya kumtwanga kichwani nao wakamshambulia kwa mapanga hadi kufa
  7. M

    Wakimbizi toka Rwanda waingia Wilayani Ngara

    Habari za kuaminika ni kuwa wakimbizi zaidi ni wanawake na vijana ambao wamekimbia makazi yao nchini Rwanda kufuatia WAUME zao kuchukuliwa au kuvamiwa na wanajeshi usiku wa manane kwa nguvu na kupelekwa kusiko julikana japokuwa wao wamesema kuwa wanapelekwa DRC kwenda kuongeza nguvu ktk kikundi...
  8. M

    WAKAZI WA NGARA na WATANZANIA WAPENDA AMANI CHANGIA HAPA

    hawa wanyarwanda bwana tatizo wako serikali ya kikwete na ndo maana operation zote zina feli ukiangalia ktk mfumo wetu ukianzia Ikulu kwenyewe kuna wananyarwanda na ndo wanawapa kiburi hawa jamaa haiwezekani watu wakauwa wananchi na serikali ipo kimya mashamba yamenunuliwa wakaweka fance na mkuu...
  9. M

    Pongezi kwa sam maela wa itv kwa jitihada zako

    jamani sasa ageukie kwa yule mama mwathirika wa vipande vya Risasi ya mambomu ya mbagala ambaye mpaka leo hainuki kutoka kitandani hata yule mie ilinigusa sana jamani sijui hatima yake itakuwaje
  10. M

    WAKAZI WA NGARA na WATANZANIA WAPENDA AMANI CHANGIA HAPA

    nilishawahi Kupost hapa kuhusu Wanyarwanda waliojimilikisha Ardhi na kuanza ufugaji na wakati suala hilo ktk Itifaki ya EAC halipo. Pia uongozi wa juu wa Wilaya unajua fika kuwa nani anaemiliki Ardhi na kufuga lakini hakuna juhudi zozote za kuwaondoa zinazofanyika . Kitu kingine hawa wafugaji...
  11. M

    ITV NI ZAIDI YA TBC hatimaye Beatrice Kamtimbo apelekwa India kwa matibabu.

    kwani ni yupi yule mgonjwa wa miguu au mwenye vipande vya risasi mwilini mwathirika wa mabomu yaliyolipuka? Jibu tafadhali nipate kuchangia zaidi
  12. M

    Safari vianney mnyarwanda aliyewashinda viongozi wa ngra

    wilaya inaitwa ngara kijiji cha Lukole
  13. M

    Safari vianney mnyarwanda aliyewashinda viongozi wa ngra

    Wana JF kuna Mnyarwanda aitwae Safari Vianney tajiri wa mifugo aliyenunua mashamba Wilaya kijiji cha Lukole na kuweka uzio kuzuia mtu yeyote kuchungia maeneo hayo. Kutoka na agizo la wazri wa mambo ya ndani mwaka jana mh, Vuai kuwa haruhusiwi kuingia tena Tanzania lakini cha ajabu anazidi...
  14. M

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    jamani naona tatizo siyo ukabila ila ni uzalendo kwa hawa viongozi wetu Hebu fikirieni wakati wa PM msuya, Mr mgonja, kwa ufupi waliyowafanyia wachaga wenzao msuya kapeleka Lami hadi marangu cheki Mgonja alivyoiboresha Rombo sie tulikuwa na majenerali wangapi tumewahi kuwa na PM sasa hivi tunao...
  15. M

    Access bank recruitment

    jamani wametoa lini hawa jamaa nilikuwa nawawinda sana hawa jamaa niambien deadline
  16. M

    Matusi ya mwanasheria mkuu wa serikali kwa mh. Tundu lisu

    nilitamani awe karibu huyo werema nimtemee mate, nafikiri anajipendekeza kwa mjomba cjui awe anani aise akistaafu hiyo kazi aisende musoma aende msoga
  17. M

    Hii imekaaje wana jf

    Napatwa na wasiwasi pale naibu wa spika anapomsaidia mwanasheria wa serikali kutoa ufafanuzi juu ya matusi yake dhidi ya tundu lisu hivi alichosema n/spika ndo alivyomaanisha =ag=kweli mie naona kama kamtusi live mh, tundu lisu wadau leteni mawazo tuchanganue
  18. M

    Walio itwa kwenye usaili wa Uhamiaji.,

    babu nichekie jina la BARAKA NKWAJE kama limetokea, nitashukuru sana kama utanisaidia kwa hilo
  19. M

    Bajeti ya Tanzania na Rwanda=Trillion 15!

    umekosea katika rate kijana exchange rate iko hivi 1Tsh,=0.39frw (rwandamoney) na siyo 1Tsh, =2.59 hiyo exchange rate ya leo kwahiyo bado umewaibia ukipigia ile rate yako kwahiyo rwandese bado wako juu pamoja na kwamba ni nchi isiyokuwa na vyanzo vingi vya mapato zaidi ya magri yanayoingia...
  20. M

    Majambazi yatikisa ziwa victoria

    Majambazi yenye silaha usiku wa kuamkia leo yamefanikiwa kuwateka wavuvi na kuwanyang'anya mashine zipatazo 20 zenye thamani ya Tsh,896,000,000/= .Tukio hilo limetokea ktk visiwa vya Ukara na Ilugwa ambako kuna kanda maalumu ya POLISI. Hilo ni tukio la pili ndani ya mwaka mmoja, tukio lingine...
Back
Top Bottom