Search results

  1. N

    Kuhusu kazi shirika la nyumba (NHC)

    Niliomba kazi NHC ambayo ilitangazwa mwezi wa sita na deadline ya kuapply ilikuwa tarehe 27/06/2011. Title ya kazi ni SENIOR FRAUD INVESTIGATION OFFICER (Ref.No.SFI/nhc/2), je kuna mtu mwenye taarifa kama watu wameshaitwa kwenye interview maana sijasikia lolote.
  2. N

    Wanasheria, mnaichambuaje hii kitaaluma yenu?

    Kaka hili suala ni mila na si sheria, pili hili sula halipo mikoa ya pwani tu kama unavyodhania, mimi ni msukuma na nimekuliwa usukumani kabisa na nimeshuhudia ukikutwa unafanya mapenzii au ktk hali ya kimapenzi na binti wa watu wazee wa kijiji kwa kisukuma "WANANZENGO" wanakulazimisha umuoe...
  3. N

    Vifo Tabora: Uongozi wa NSSF Makao Makuu Uwajibike

    ''Kama itatokea NSSF ...........inahusika....''. Kumbe mpaka sasa huna ushahidi kama NSSF inahusika sasa suala la wewe kumtaka Dr. Dau awajibike umelipata wapi,chuki binafsi au prejudece. You are the one carrying the burden of proof so tell us where on the eyes of law do you find Dr.dau guilt.
  4. N

    Vifo Tabora: Uongozi wa NSSF Makao Makuu Uwajibike

    Baada ya kufuatilia mjadala huu toka mwanzo,ninakila sababu ya kuamini kuwa mwanakijiji ulikulupuka kumuhukumu Dr.Dau ama unachuki binafsi na likuwa tu unasubili kitu kitokee then uatack.hata hivyo naona umechemka kwani prejudece zako hazina moral support achilia mbali legal support ambayo diyo...
  5. N

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    Personally I dont see any problem with manji helping these Guyz.If sum1 thinks manji is using them to seek popularity then I am tempted to believe that mengi uses his tv and radio stations to to do same thing. Lets be positive and compliment manji 4 wot he has done in relation to this matter.
Back
Top Bottom