Jomba kwa hiyo unadhani Nyuklia imehifadhiwa kwa ajili ya kupiga nazo picha sio...hizo ni silaha za kimkakati, za kujihami na kumtisha adui..
Jiulize kwa nini USA aliamua kutumia nyuklia dhidi ya Japan.
Juzi Putin alisema kwa upande wa propaganda hakuna anaeweza kuwafikia Marekani, maana vyombo vyote vya habari vikubwa ulimwenguni wanamiliki wao...
Ila kiuhalisia China na Urusi wanampita kwa Mengi sana Marekani...ila sababu tunasubiri CNN na BBC ndio waseme tutasubiri sana.
Pasco wewe ni kati ya watu wachache wenye kujua mambo ya nchi kiundani na kuyaandika.
Japo uwasilishaji wako unakuwa kama wa kubahatisha, ila mara nyingi hufanana kwa kiasi kikubwa matokeo ya baadae.
Wengi wetu tunakuja kukuelewa wakati tayari mambo yapo hadharani.
Lazima ajadiliwe kwa usanii wake wa kupokea fedha za CCM kwa mlango wa nyuma.
Lazima ajadiliwe sababu yeye ndio alieitengeneza COV19, akina Mdee walikuwa na baraka zote za Mbowe pale bungeni.
Lazima ajadiliwe sababu yeye ndio mwenyekiti asie na Ukomo, na harusiwi mtu yoyote kugombea ile nafasi.
Yaani serikali ina asilimia ndogo ya umiliki, lakini ndio mdhamini wa hao wenye asilimia kubwa.
Yaani kwenye faida serikali inagawiwa kwa asilimia, ila kwenye hasara serikali inabeba kwa asilimia zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.