Search results

  1. K

    Dr. Asha Rose Migiro aagwa rasmi Umoja wa Mataifa (UN)

    Akili ni nywele kila moja na zake, na mawazo kutofautiana ni sawa kabisa, wanaosifu wasifu ama kwa dhati au kwa kejeli, na wanoponda waponde kwa chuki binafsi, ukweli unabaki palepale, she has done well, very well, madame asharose congratulations and well come back home, penye ukweli uongo...
  2. K

    Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

    Ndugu mzalendo manene yako swadakta, haya tangulia na bango mie niko nyuma yako lakini hala hala tusijikute tuko wawili tu, si unajua uzalendo wetu maneno, vitendo hakuna. Mie nasubiri behewa likianza naunga
  3. K

    Ujio wa Asha-Rose Migiro----Tafakari kisha weka maneno kwenye hii katuni

    NDUGU YANGU ZUMBEMKUU ASANTE KWA SWALI LAKO, NIMEKUELEWA NITAKUA NATAJA MAJINA, KUKU MIMI NILIKUWA NATAJA STATUS KWA KUELEWA KUWA UKISEMA RAIS ANAJULIKANA NI NANI - UKISEMA SPIKA ANAJULIKANA NI NANI, BASI ZUMBEMKUU USIPATE TAABU HILO JAMBO DOGO TU NITATAJA MAJINA SISI WOTE WANA JF NA LENGO...
  4. K

    Amini Usiamini, Ukitenda Wema, Mema Yatakurudia. Kisa cha Rafiki Yangu Aliyeishi Dar.

    NDUGU YANGU HYGEIA/JF ESM, NI KWELI UKITENDA WEMA, BASI WEMA UTAKURUDIA, NAKUBALI, LAKINI NI MARA CHACHE SANA SANA IKAWA HIVYO, NAKUPA MFANO HAI AMBAO UMENIKUTA MIMI MWENYEWE, NINA NDUGU ALIFIWA NA MUME AKAWA ANAHANGAIKA KUHUSU WATOTO ALIOACHIWA NA MUMEWE WATOTO TISA!!!!!! BASI NDG TUKAKAA...
  5. K

    Wlliam J Malecela: Kachukue Dodoma Mjini 2015

    Kwako hnic huyu jamaa kama kweli kenda eu kukusanya pesa!!!!!! Basi kabla ya kampeni arudi marekani kumaliza deni la child support, lililomkimbiza new york, mpaka gari karudisha kwa dealer, nyumba kaacha shangalabagala, mradi................. Kweli uongoooooooo, bro willy chuchumaa
  6. K

    Nyumba za NHC kwa nini wasipewe Walimu na Madaktari?

    Ndugu yangu Mooduke, mawazo yako nayaunga MKONO, Lakini tofauti yangu na wewe ni kwamba Hao Waalimu na Madaktrari kupewa hizo nyumba itakuwa sio sawa kwa maana hivi NHC ni shirika la kibiashara likiwa linajenga nyumba na kugawa wao pesa watapata wapi? Jambo la kuangalia ni kwamba serikali ikae...
  7. K

    Maandamano kupinga posho za Wabunge

    Dear SEM, mie narudi pale pale muandamanaji hapa HAKUNA, tena HAKUNA kwa herufi KUBWA, iwe kwa posho za wabunge au kwa sanda za Maiti, ona Madaktari, kwanza wanavyodharauliwa kwa kuachwa hapa Muhumbili na watu kwenda kutibiwa India USA na UK and whereever, wanavyo nyanyaswa kwa kudai haki zao...
  8. K

    Maandamano kupinga posho za Wabunge

    NAKUBALIANA NA MEMBERS WALIOCHANGIA HOJA HII KWA KUSEMA , "MUANDAMANAJI NANI?" Hii ni sawa na ile hadithi ya panya na paka, Panya Mwerevu kwa wenzie, "Jamani eeeeh huyu paka tumfunge kengele ili kila apitapo kengele itapiga tutajua yuko wapi na hivyo kusalimisha...
  9. K

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Wanajamii mimi ni kuku hanuni lakini pia ni kuku mgeni, msinishangae ninapojibu au kucomment kwenye mambo yaliyosemwa back 47, maana ndio nimejiunga na jamii na ndio napitiapitia baadhi ya threads, Senior Expert, hili la kuhusu police ni kweli kabisa, mwananchi hana haki hata kidogo, mimi...
  10. K

    Viongozi waliotibiwa hospitali za nje ya nchi

    Hee senior member damu huwa inabadilishwa?????? Nitoe ujinga
  11. K

    Viongozi waliotibiwa hospitali za nje ya nchi

    Senior member kwa hili NAKUUNGA MIKONO YOTE MIWILI, hili la Tabaka fulani la watu fulani kwenda kutibiwa India au kwinginge kwa kodi ya Wananchi???? Hivi kuna faida gani kutrain Madaktari na kuita Muhimbili University kama madaktari hawatumiwi??? kama ni hoja ya vifaa hivi mapesa yooote haya...
  12. K

    Ujio wa Asha-Rose Migiro----Tafakari kisha weka maneno kwenye hii katuni

    Senior expert member mbona una hasira? ni kweli ng'ombe akivunjika guu hurudi zizini, lakini Migiro hajavunjika guu (Fatilia kwa Kina) pili hachaguliki je kwa nani? na wapi? mbona majina ya wagombea uraisi hayajotoka? sasa hii kutajwa tajwa inakupa taabu? pengine hata mawazo hayo hana, japo kuwa...
  13. K

    Ujio wa Asha-Rose Migiro----Tafakari kisha weka maneno kwenye hii katuni

    Senior member inaelekea huyu mama Migiro unachuki nae, pengine amekukosea, lakini huko mimi siingilii kwani mtu kama humpendi ndio humpendi, mimi si mwana siasa, sisupport chama chochote, na wala sipigi kura, huu ndio msimamo wangu, lakini misemo yako kuhusu huyu mama inaonyesha CHUKI KUBWA...
  14. K

    Ujio wa Asha-Rose Migiro----Tafakari kisha weka maneno kwenye hii katuni

    Premium Member: Upimwaji wa kazi za Migiro huko UN unataka upimwe nani? nadhani umeona kwenye vyombo vya habari (magazei kama ni msomaji) wakinukuu kauli ya mwenyewe Ban Ki Moon kuhusu utendaji wa kazi wa huyu mama Migiro, wakati alipokutana na waandishi wa habari waliotoka pande mbali mbali...
  15. K

    Ujio wa Asha-Rose Migiro----Tafakari kisha weka maneno kwenye hii katuni

    Senior Member, si wewe peke yako na baadhi ya members wengine pia, mmekuwa mkitoa hoja bila kufanya utafiti wa kina na wa ukweli, kwanza hii ni kawaida miaka yooote, tokea nipate fahamu zangu kuhusu chaguzi za kitaifa kuanzia Rais mpaka katibu kata, likitajwa jina la mtu yoyote wako...
Back
Top Bottom