Search results

  1. N

    Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

    Nimecheka mpaka nimepaliwa.
  2. N

    Hii sasa too much! Wakandarasi wa gesi wanakwenda Mtwara kwa ndege na kurudi kulala Dar kila siku

    Ni kweli jamani Mtwara pakulala ni issue hata hizo Hotel za Nyota 0 muda wote zimejaa, jana tuu Mtwara kulikuwa hakuna Nafasi hadi kwenye Hotel za vichochoroni hapa Ofisini tunawageni wanalala Lindi asubuhi wanakuja Mtwara.
  3. N

    Adhabu kubwa kabisa utakayompa mumeo kwa kufanya mapenzi na mdogo wako ukiwa mjamzito?

    Hebu geuza iwe mkeo katembea na kaka yako uone inavyochonyota tatizo lenu mnafikiri sis Wanawake hatuna roho km nyie, kusamehe ili iweje kwanza tayari ameshakuharibia undugu na mdogo wako, uvumilivu siyo karne hii ya ARV , presha, visukari + Cancer bila kusahau BP, hapo ni kuchapa mwendo.
  4. N

    NO SHOW FEE YA PRECISION AIR Tsh 25,000

    Kwa kweli wanaboa, na delay kwao ni kitu cha kawaida, kwa mnaoenda abroad halafu mnakaa nje ya Dar es salaam tafadhali usithubutu kuunganisha yaani unatoka Mtwara siku hiyohiyo unaenda nje ya bongo utaambiwa flihgt itachelewa kwa saa moja, baada ya muda wansema itadelay kwa masaa mawili mwisho...
Back
Top Bottom