Search results

  1. mkandaboy

    Vodacom siwaelewi jamani

    ....Hata mie, kwa kidhungu hiko, nahisi harufu ya mtu kupigwa hapo...
  2. mkandaboy

    Ukerewe: Kisiwa cha kipekee kilichopo jijini Mwanza nchini Tanzania

    Pia kwa mila na desturi za Ukerewe ni marufuku/mwiko kuua Chatu. Pia hairuhusiwi kumuongelea chatu kama ikitokea umemkuta amekufa au ameuawa.
  3. mkandaboy

    Ukerewe: Kisiwa cha kipekee kilichopo jijini Mwanza nchini Tanzania

    Semedo, Nliwahi kusikia kuwa pia kuna asilimia/proportion kubwa ya watu wenye ulemavu wa ngozi (ualbino)
  4. mkandaboy

    Shule gani nzuri za English Medium Singida.

    ..Yes mkuu Singida kuna maziwa (sio tu ziwa). Mie nayafahamu mawili Ziwa Kindai na Ziwa Singidani
  5. mkandaboy

    Nahyan mobile shoop

    Bei gani hii nyeupe mkuu?
  6. mkandaboy

    Msaada tutani: Mwenye mkataba wa biashara ya Bodaboda

    Mkuu kwema? Tafadhali kama hutojali nami naomba nakala ya hiyo template ya mkataba. Natanguliza shukrani
  7. mkandaboy

    Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    Hahahaaaaa, pia alikuwa anajibu FALSE...dah!!
  8. mkandaboy

    Nauza perfume original kwa bei sawa na bure

    Habari yako Ozzy Isayah.. Hongera kwa ujasiriamali. Swali moja tu kwako, hizo picha ndo za perfume unazouza?
  9. mkandaboy

    JIJINI DODOMA : Viwanja vya kula bata na 'totozi' ni balaa…

    ,,,,Usisahau pia maambukizi ya VVU yamepanda sana huko...Take care ndugu
  10. mkandaboy

    Naomba kusaidiwa vitu vifuatavyo kuhusu hii biashara ya pikipiki

    You are very right Palantir...Naweza kukucheki kwa ushauri zaidi? asante
  11. mkandaboy

    Bajaji kwenye miinuko ina uwezo wa kuhimili ikiwa inatumika kusafirisha abiria?

    .. ukiipata mpya na ikawa inatunzwa vizuri yaenda mpaka miaka 4 kiongozi
  12. mkandaboy

    Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

    ..Kwa uzoefu mdogo nilionao mpaka sasa na kwa capital hiyo, nadhan ununue mchele kwenye machine kwa sababu kwa mchele angalau unaweza kuona ubora wake (rangi, unyoofu-kwa maana utaona haujakatikakatika). Lakini kununua mpunga ambao utakuletea mchele bora inahitaji uzoefu na utaalam sana. Pia...
  13. mkandaboy

    Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

    Very true, mie nimeifanya kwa msimu mmoja na changamoto ndo kama alivyosema Swahiba. Yabidi mtu ujipange haswa na uwe na mtaji wa kutosha ili uweze ona faida yake
  14. mkandaboy

    Msaada: Fundi wa Washing Machine

    Habari wapendwa Naomba msaada kwa mtu anayemfahamu fundi mzuri wa mashine ya kufua nguo (Washing Machine) anisaidie contacts zake. Ahsanteni sana
  15. mkandaboy

    Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

    Na zaidi ya hapo, kabla ya CAG kurelease ile report, hawa waliokaguliwa huwa wanapewaga siku za kutosha kuipitia na kuikosoa. Baada ya kupresent ndo wanaibuka... Wanaboa sana hawa watu
  16. mkandaboy

    All about ALPHA BLONDY

    Mi pia nazikubali sana nyimbo za huyu Legendary. Hizo ulizotaja na zingine zote kwenye album ya MASADA, mie nazisikiliza daily...
  17. mkandaboy

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    True that, hata mimi nilishaliona hili duka tajwa, jina la mtaa sikumbuki but liko maeneo hayo aliyoelekeza harder king
  18. mkandaboy

    Nauza laptop yangu bei poa

    Na je ina Backlit? (ile taa ndani ya keyboard inayowezesha matumizi hata kwenye giza)
  19. mkandaboy

    Nauza laptop yangu bei poa

    Kuna mtu kauliza betri inadumu muda gani na chaji ikiwa inatumika bila kuchomeka kwenye socket? jibu pls
Back
Top Bottom