Search results

  1. mtekula

    Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.

    binafsi nimejifunza kitu.ahsante!
  2. mtekula

    Mbona ya Mussa kubwa!

    hahahaaaa hiyo kali
  3. mtekula

    jamani.....!!!! jamani.....!!!!

    sasa hapo unataka tukushauri kitu gani?muoe basi!
  4. mtekula

    Nilichokitafuta nimekipata!!!!!!!!

    pole sana maumivu ni makali sana.jaribuni kukuaa na kuzungumza labda atajirekebisha.lkn sidhani hapo atatafuta njia nyingine tu kunuacha si rahic.kama unaweza kusimama mwenyewe jipange tu
  5. mtekula

    TBC1 na Moudoudo

    ovyoo kabisa wametukatisha uhondo wa maudodo na kaka yake mwenye vituko kila kukicha.basi toeni taarifalkn wapo kimya hii ni station ya magamba.
  6. mtekula

    Naomba Jibu kwa Wanawake tu..

    me sipendi mbona wanaume wenye rasta.
  7. mtekula

    CV ya Prof. Ibrahim Lipumba, msomi, mtumishi aliyetukuka na mwanasiasa mvumilivu

    li sana huyu mtu kwa nn tusimchague jamani atuongoze kuliko haya magamba?tushikamane 2015 awe president wetu .wenzetu wanamtumia huyu mtu jamani.
  8. mtekula

    natamani mume wangu anywe pombe

    we usiombe utajuta ndugu.
  9. mtekula

    Ajali ya Noah balaa

    R.I.P Marehemu wote
  10. mtekula

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Umewageuka leo shauri yako. Si unamuona mwakyembe anavaa glov....
  11. mtekula

    Though ur a married man, i will always love u

    pole mwenzangu wanaume wakitamani kitu wana mbinu kweli. mpotezee tu.
  12. mtekula

    Mapenzi yananitesa, naombeni ushauri

    inakuaje watu hamjali afya zenu jamani yani mtu kakuambia alikua na msichana na we ukakubali kudo nae pekupeku huogopi wewe?aah hata nikikulaumu ndio yashatokea hata hivyo pole sana.kama una kazi yako huna haja ya kumfatilia huyo mwanaume tunza mimba yako na jiwekee akiba ya kutosha ili...
  13. mtekula

    Achaneni na mikorogo. Huu ndio uzuri wa ngozi nyeusi!

    dah!no comment hapo.
  14. mtekula

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    mh! pole yani akikohoa tu inatoka.
  15. mtekula

    Its My Wedding Annivesary

    hongera mkuu miaka 11 si haba! me ndo kwanza nataka kuingia miezi ya hivi karibuni naomba mungu anitangulie kwa kweli mana vikwazo ni vingi ninavyovishuhudia kwa watu wangu wa karibu wanavyoyumba na ndoa zao.
  16. mtekula

    Maandamano makubwa Songea!

    tujuzeni basi hata sielewi leteni basi kitu kinachoeleweka aah
  17. mtekula

    Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

    umefanya kitu cha hatari kweli ndugu dah lkn utavuna ulichpanda kwani penzi ni kikohozi siku utaumbuka tu na ukiumbuka naomba uje useme tena humu jf tukushauri.
  18. mtekula

    ...Jumatatu Natoa talaka kwa Mke wangu....Yamenishinda

    umeridhia mgawane mali japo hajachangia chochote!!!!!!! kwa kweli huo ni unyanyasaji kabisa na hapo nilichonote mimi ww ndio mwenye matatizo si huyo dada na swala la talaka umelifurahia kweli.sasa cjui hapa unataka tukushauri nn wakati umeshasema j3 ndio unampa talaka.lkn usisahau kumwangalia...
  19. mtekula

    Jamani Oilcom ni wezi! wezi! wezi wa mafuta kabisa

    haa ndio unajua leo kama oilcom wezi sio oilcom tu karibia petrol station zote hapa mjini ni wezi dawa yao kidumu tu.
  20. mtekula

    Mahousegirl Wengine Mmh!

    kama hutaki si umwambie kua hupendi anavyofanya lkn kwa nilivyokusoma hapo tayari tamaa imeshakuingia pole sana mkubwa.
Back
Top Bottom