Search results

  1. Y

    Tfda tulidhani mmebadilika!!!!!!!!!!! Utumishi angalia hili

    Kama alikuwepo na kapata kazi sio issue, supplimentary isikutishe maana kuna sababu nyingi za kuwa na supplimentary, mbona mimi nimefanya interview na ma-doctor wa NIMR, nimepata kazi ya senior medical research officer wakati mimi ni mtu wa uchumi, watu wanaangalia vigezo, sio nauli au umbali...
  2. Y

    updates za UDOM

    Very soon, na inategemea kila school kwa Academicians na kwa administrators pia inategemea kitengo, ila nikuhakikishie kwamba mambo ya ku-shortlist yameisha, so anytime likiisha zoezi la kupokea wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wanaendelea, mambo yatakuwa sawa, kama ulikuwa na vigezo, kaa mkao...
  3. Y

    updates za UDOM

    TAFADHALI SANA NAOMBA MNAPO TOA TAARIFA HUMU NDANI ZIWE NI ZA UHAKIKA NA KAMA KUNA UWEZEKANO TOA CHANZO. MIMI NIPO UDOM, UTAWALA, MCHAKATO WA KUAJIRI UNANDELEA KAMA KAWAIDA, NA KILA IDARA IKO NA WATU WAKE, NA ZAIDI YA HAPO MAJINA YANAPITISHWA KWA WATU WA UTUMISHI, SASA KAMA WEWE UMEAMBIWA UTOE...
  4. Y

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Habari kutoka bungeni zainasema shyrose ndio kaibuka katika kinyang'anyiro.
  5. Y

    Natafuta rafiki wa kike kutoka Mbeya

    ukabila
  6. Y

    Wanawake mkoje nyie? Mnataka mpendwe kwa namna ipi?

    Wanawake wote, I mean all of them ukiwaambia ukweli inakula kwako. kama wewe ni tajiri mwambie masiki and vice versa, kama umeoa mwambia hujaoa and vice versa, maana ndivyo walivyoumbwa. Ukweli unakuja baada ya kumchakachua, na inabidi akubali tu.
  7. Y

    Dah! huyu dogo noma

    Kwani wakubwa wakipewa wanafanya nini? si wanaishia kunyonya tu??
  8. Y

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Mtoa hana jipya mill 300 sio pesa za kufanya mambo yote hayo, na zaidi ya hapo Billcanasi inafanyiwa ukarabati mara kwa mara kama una kumbukumbu(mtoa maada). Pili kwa exchange rate ya leo, assuming that pesa yote inatumika kununua nyumba Dubai haitoshi kwani ni USD 187520. Kiffupi ni kwamba...
Back
Top Bottom