Search results

  1. M

    Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho?

    nilifikiri dua za viongozi wa dini kuliombea taifa zinaweza kutusaidia na sisi watanzania tuondokane na ujinga wa kiukoo lakini naona juhudi hizi hazikufua dafu, leo tena qq.com anaudhihirishia umma kuwa ujinga wake unaweza kuibadilisha kweli ya lipumba ya kuwa UN miezi sita na kuwa mwenyekiti...
  2. M

    CHADEMA yaisambaratisha CCM jimbo la Nyang'hwale kijijini Karumwa

    nimefatilia habari hizi nimegundua kuwa akija mwehu mmoja na akatudanganya kuwa jeshi limeasi wana jamii forum tutamiamini na kumpa pongezi , au akituambia chadema wapewewa urais jk kakubali kutoka ikuru tutakubali haraka, muhimu habari iwe na chadema ndani, mimi ni mkaazi wa kharumwa, kitongoji...
  3. M

    Maneno ya Baba

    siku zote mkeo ni rafiki yako wa ndani na mwenzako, katika muungano wa hiyari, na una weza kuwa na mwisho wake ikiwa yatakiukwa masharti ya mkataba huo, hapo sasa maana ya baba utaipata KUWA MKEO SI NDUGU YAKO, kwani baada ya kuundoka kwako atarudi kwa ndugu zake na wewe utabaki na ndugu zako...
Back
Top Bottom