Search results

  1. TAIROCOSTA

    Shutuma bila suluhisho na uthibitisho ni kuhanjahaja

    Hebwe weka hoja mezaji. Mm nilitegemea amtaje mtekaji sasa anapuyanga tu nje ya barabara mm sijaona uzito wa speech yake nimeona tu anahanjahanja.. tunataka kiongozi wakuonesha njia sio kupiga maneno.
  2. TAIROCOSTA

    Shutuma bila suluhisho na uthibitisho ni kuhanjahaja

    Mstaafu usijishushie heshima yako. Kuna mtanzania alitesema anafurahia utekaji?? Haipendezi mtu wa kaliba ya Mhe Membe kutoa shutuma asizozithibitisha badala ya suluhisho. Ingekuwa bora angalau umtaje mtekaji ni nani. Mbona humjui pia?
  3. TAIROCOSTA

    Call for interview: Hakimu mkazi II

    Jamaa wako vizuri pamoja na sap yangu wamenipigia simu kunieleza hivyo nikaze buti
  4. TAIROCOSTA

    Call for interview: Hakimu mkazi II

    Kwa waliokosa kama mm tatizo ni sap law school hivyo tufanye juhudi kusapua
  5. TAIROCOSTA

    Kuitwa kazini: Tume ya utumishi wa mahakama

    Mm nina sap law school wamenipigia ila ni kunitia moyo tu nisapue then niombe tena. Sio kuitwa interview
  6. TAIROCOSTA

    Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

    Huyu binti mungu amlaze pemaa.. Ila ina maana hana picha ya adabu hata moja??
  7. TAIROCOSTA

    Call for interview: Hakimu mkazi II

    jina teotimo michael. pls
  8. TAIROCOSTA

    Call for interview: Hakimu mkazi II

    niangalizie mdau jina Teotimo michael... hakimu mkazi
  9. TAIROCOSTA

    Kubadilisha jina

    Nitafute 0717099253
  10. TAIROCOSTA

    Tusidharau kazi ya ulinzi

    Ulinzi ni proffessional wadau na ibalipa. Sema smtym inategemea unafanyia wapvhii kaz ya ulnzi. Security officer ni mlinzi kimsingi na it pays alot hivyo karibuni ktk fani
  11. TAIROCOSTA

    New jobs at TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation)

    Hawapendi wazee hawav jamaa wanaolinit age kuwa 30. ,ss mazee ukichelewa hadi 30 ,ikapita sivishu hii?? Hawako fair kwa hili
  12. TAIROCOSTA

    Mwenye Access matokeo ya Usahili Legal Officer TPDC

    Electric tech yashatoka check na web yao. Ila yapo n pdf format.. Mdau tafuta cimu yenye uwezo wa kufingua pdf file utaenjoy sana mzee mambo mengi yamo humoo
  13. TAIROCOSTA

    Mwenye Access matokeo ya Usahili Legal Officer TPDC

    Pepa nyingi kuanzia tar 8 hawajatoa wametoa systm analst tu. Pia ya nyuma kama legal off ii bado. Expecting today siku ya kazi.. Ila wadau hawa jamaa wako vizuri sana mambo yao
  14. TAIROCOSTA

    TPDC nini kinaendelea

    Eaasyy wadau check nao ktk web yaoo wametoa results
  15. TAIROCOSTA

    TPDC nini kinaendelea

    Matokeo yapo websaitini kwao.. Chech nayo kama vp
  16. TAIROCOSTA

    TRA wametoa Nafasi za Ajira

    Ukisave unasend na unaangalia mashine yako itakuambia succesfull.. Kama vp apply tena sama position ikikataa ujuevyayari
  17. TAIROCOSTA

    Hii imetokea Leo posta

    Alikuwa beachh
  18. TAIROCOSTA

    Msaada jamani nani anadetail za hii kampuni ya Radar recruitment?

    Wanarecruit watu na kuwauza kwa waajiri hivyo ni madalali..
Back
Top Bottom