Search results

  1. S

    Kwa hili nitawachukia wanawake milele. Na sitowasamehe.

    yafaa uombe msaada wa Mungu kwa imani yako,ktk hilo ni yeye na wewe na mkeo,ndo mnaweza kupata suluhu.
  2. S

    Nauza asali, ni mbichi na haijaongezwa chochote

    vipi ya nyuki wadogo?mimi nahitaji,naweza ipata toka kwako?
  3. S

    Wizara ya Afya yamruka Manumba, wahoji alikoipata ripoti ya Mwakyembe!

    nadhani itafikia kipindi hakutakuwa na kuaminiana tena TZ,kila mtu atamuogopa mwenzie.ni hatari tuombe Neema ya Mungu.
  4. S

    Mwanafunzi Shule ya wasichana Korogwe agonga wenzake kwa gari wakijiandaa kwa mahafali

    nawapa pole walimu na wanafunzi wa korogwe, Mungu ailaze roho ya marehemu zahra mahali pema pep[oni. Formal student of korogwe.
  5. S

    Naomba Mnipe ushauri kuhusu huyu mke wangu

    ukweli humfanya mtu kuwa huru!mambo ya wawili ni wawili,ila tunafundishwa kusamehe bure
  6. S

    Madaktari na Posho za Wabunge

    sijui ni mlaumu nani kwa hili!ngoja nifikiri kidogo,ila wagonjwa wanaumia,na serikali nayo sio sikivu.sifungamani na upande wowote.
  7. S

    Women are right

    ukweli mtupu!
  8. S

    Kwani nani kazaliwa na Baba!!!!!

    hata mimi sipendi,inaonekana ni dharau.kwani mtoto wa mama na wa baba tofauti yao ni nini?
  9. S

    Nimekataa posa ya Myao kwa mpwa wangu…………………!

    ndugu hapo hakuna msomaji,ila nakusapoti kwa asilimia zaidi ya mia moja huyo mwanaume sio mume!lakini kumbe ukikaa na mwanaume mkazaa na hamjafunga ndoa waweza achwa akaolewa mwingine?
  10. S

    Wanaume tuu!!!

    dah!kaka muombe Mungu akujalie uvumilivu,je kama wewe unashindwa kuvumilia je mkeo?kwa hivyo unakubali na yeye atoke nje?hapana bwana inawezekana kuvumilia acha kujiendekeza!
  11. S

    Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

    dah!mimi mbona sijawahi kukutana hata na mmoja?kwani wanawake wanahitaji kabila au sifa?
  12. S

    Ajali ya Mh Regia - tuna tatizo

    siko mbali sana na wewe ntamaholo.:hatari:
  13. S

    Wanafunzi waislamu watangaza maandamano!

    hata mimi niliipata hiyo toka kwa mwanafunzi wa UDOM kumbe kweli,dah nasikia uislam huko Udom noma.
  14. S

    Wanafunzi waislamu watangaza maandamano!

    shule haiwezi kujenga msikiti wala kanisa wajameni,eeeh!:shock:
  15. S

    Wanafunzi waislamu watangaza maandamano!

    hellow wna jamii forum,mimi ni new comer kama form one vile kwa hivyo naomba otientation,please.
Back
Top Bottom