Search results

  1. M

    Msigwa: Mangula ni ndege chichidodo

    Itabadi utupatie vigezo zaidi ya umri wa kitabu maana kuna vitabu vya zamani ambavyo bado vimebeba kweli zenye nguvu. Mfano Biblia ni kitabu cha kale kabisa bado kinaongoza maisha ya watu wengi kwa usahihi hadi leo, Koran vile vile inaaminiwa na kuongoza maisha ya waislamu wengi hata kama ni ya...
  2. M

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    Ndugu Zitto usikubali kunyweshwa sumu ya udini. Wewe ni kiongozi wa watu wote. Waliokuchagua jimboni mwako si watu wa dini moja. Nafikiri njia uliyotumia ya kuwa wazi na kuruhusu mwenye neno aliseme hadharani ni njema. Jambo ambalo wengi wamekuwa wanahoji ni juu ya kutangaza mapema hata kabla ya...
  3. M

    Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    Haya ni maneno ya busara. Ingawa mimi ni mkristo nafikiri mleta mada anayo nia ya dhati ya kutafuta suluhisho. Wito kwa wakristo na viongozi wao tusikubali kuwa provoked au kuingiizwa katika mtego wa kundi hili. Mfano kuna mchungaji alinielelza binti mmoja aliyekwenda katika mkutano wake...
  4. M

    TAHADHARI: PICHA za Mkutano wa CUF Arusha zimechakachuliwa

    Hivi Maggid ana maslahi gani na information hii?
  5. M

    CWT yaanza kusambaza ujumbe wa simu (sms) za mgomo kwa walimu nchi nzima

    Una uhakika na source of information? Maana kuna watu wa kilimo na mifuko ninaowafahamu wa level ya diploma wamefanya kazi zaidi ya miaka 10 wanalipwa laki saba. Inawezekana tofauti zipo lakini jaribu kujiridhisha na source yako ili tusijechangia mambo yasiyo sahihi
  6. M

    Mchungaji Msigwa afunguka bungeni; uchumi hauombewi bali wazinzi

    Kuombea uchumi si jambo baya. Katika makanisa yetu kila mara tunauombea. Tunachoomba ni Mungu kuwafungua watu ufahamu na kuwapa ubunifu, maarifa na nguvu ili waweze kuzalisha na kujiletea maendeleo. Jambo baya ni kubweteka na kufikiri muujiza utakuja bila kuushughulisha ubongo wako kubuni la...
  7. M

    Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

    Sensa ya ukweli ni watu wamrudie muumba na kumheshimu katika maisha yao kama ni waislamu au wakristo. hata mtu akihesabiwa kama mwenye dini fulani lakini moyoni mwake yuko mbali na Mungu itasaidia nini?
  8. M

    Wazanzibari wasema Muungano umewadhoofisha na kuwatia ufukara, ni bora maisha ya nyuma kuliko ya leo

    Mimi nafikiri kuwang'gang'ania wazanzibari kwa nguvu si suluhisho la kudumu la amani. Kila mara watafikiri kuna maslahi ya siri bara inayopata zaidi ya faida za umoja na mshikamano. Hivyo wapewe uhuru wa kuamua wanachoona ni bora. Hii ndiyo demokrasia ya kweli.
  9. M

    Viongozi wa kiroho na chaguzi

    Mimi niliye mdogo miongoni mwao wote naomba kuleta wazo hili. Katika zama hizi za siasa za vyama vingi ni vizuri tuwe waagalifu na hila na ujanja wa kugawa sharika na waumini wetu kupitia migawanyiko ya kisiasa. Ni vyema kutokubali kwa mfano wakati wa kampeni kuingia kichwa kichwa katika...
  10. M

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    Naamini busara toka pande zote inaweza kusaidia katika tatizo hili kuliko nguvu, mashindano na vitisho!!!
  11. M

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    Sidhani kama Sihali anamaanisha chadema ina watu wanaoweza kuwafikia wakristo tu. Nafikiri ana maanisha kwa Meru ambapo wengi ni wakristo Chadema wana watu wanaoweza kuwafikia kwa urahisi. Hivyo katika maeneo mengine yenye mfano waislamu au wapagani watawatumia watu wa jinsi yao (yaani waislamu...
  12. M

    Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

    Nimeangalia jana hotubu ya Mhe Waziri Mkuu. Pamoja na nia nzuri ya kuona huduma za afya zinarejea kwa watanzania kuna mapungufu nimeona. Hawa madaktari wanaonekana tayari wamechukia na hawako katika hali yao ya kawaida ndio maana wanashinda katika kumbi za mikutano badala ya mawodini. Mioo yao...
  13. M

    Kumbe Dr Asha Rose Migiro ni chaguo la Kikwete!

    Ngongo mbona kama yaha ni mawazo yako wala si habari ya kusikia kwa jinsi unavyoyatetea!!
  14. M

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Kama inawezekana kupata suluhu yenye maslahi kwa watanzania wote kwa njia ya amani nawatia moyo viongozi wote wa siasa wasiogope kuitafuta. Uongozi ni kwa ajili ya kuwatumikia wananchi na siyo kutengeza heshima na ukuu.
  15. M

    No-nonsense Kagame orders the arrest of four generals

    Hivi kweli kawakamata kwa corruption au kwa vile wanahatarisha maisha yake kisiasa? Marais wa kiafrika siku nyingine wakitaka kuzima wapinzani wao kisiasa wanasema wanatetea maslahi ya nchi na usalama wa nchi.
Back
Top Bottom