Search results

  1. mjomba wa kale

    Hizi guest na Lodge zimegeuka nyumba za kihuni sasa..

    Pole sana! Nami imenikuta Singida juzi lakini nilivumilia tu kwakuwa hakukuwa na namna nyingine.
  2. mjomba wa kale

    Kisutu: Mahakama yatengua ushindi wa Diwani wa Kata ya Saranga-Kimara(CHADEMA)

    Kama sijakosea jimbo la Kibamba halina diwani kutoka CCM waliwachagua wa UKAWA wote
  3. mjomba wa kale

    Naunga Mkono Bunge Kutoonyeshwa Live

    Hili jukwaa nahisi kuna watu wamevamia hawastahili kuwemo
  4. mjomba wa kale

    Wataalamu wa ujenzi, ipi tofauti ya ubora kwenye Gypsum?

    Niliwahi kwenda kiwandani kwao hao TOUCH BOARD pale Tegeta wanasema zao hazishiki moto pia hazipitishi maji sasa sijajua kama hizo nyingine nazo ni hivyohivyo au la
  5. mjomba wa kale

    Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Mimi ni mfanyakazi wa shirika la umma nataka kufungua biashara ambayo itakuwa inaniingizia kipato cha ziada na katika kufikiria ni biashara gani nimepata wazo la kuanzisha car wash. Sasa nilikuwa nataka msaada kwa wenye uelewa na biashara hii kuhusu kiasi cha mtaji na vifaa vinavyohitajika...
  6. mjomba wa kale

    waziri wa magufuli ahusishwa chadema

    Kwahiyo sisi tufanyeje? Namba si zinaongea kuna mashaka gani juu ya hilo? Nonsense
  7. mjomba wa kale

    Uenyekiti Kamati ya Bunge (Masuala ya Ukimwi), Elibariki Kingu anatosha

    Kwa vigezo vipi labda? Acha kujipigia debe
  8. mjomba wa kale

    Harufu ya ufisadi mradi wa umeme 'Kinyerezi II'

    Hiyo gharama ya kuuza umeme umekosea au ndio unamaanisha? Dola 875 kwa KWH!? Sasa hao Tanesco watauza shillingi ngapi kwa mtumiaji? Kuwa makini unapokuwa unapost taarifa hapa JF
  9. mjomba wa kale

    Cannavaro astaafu rasmi timu ya Taifa, Kujikita na Yanga

    SAMATA si alikuwepo uwanjani alifunga mangapi kupunguza tofauti ya magoli kama si kurukaruka tu? Huo uchezaji bora wenyewe kabahatisha tu aliyekuwa anastahili ni Kidiaba
  10. mjomba wa kale

    Cannavaro astaafu rasmi timu ya Taifa, Kujikita na Yanga

    Zamani nilikuwa nasema makocha wazawa wanaonewa lakini kwasasa napingana na fikra zangu kuwa sio sahihi ni kwamba wana uwezo mdogo sana, kama huyu Mkwasa sijui ni kule kuzoea kufundisha timu ya wanawake au la, naombea afukuzwe haraka na hata Yanga wasimfikirie tena abaki kufundisha timu za...
  11. mjomba wa kale

    Magufuli mtake Samwel Sitta aondoke kwenye Jumba la Spika Masaki

    Hata Dodoma pia kuna nyumba ya Spika
  12. mjomba wa kale

    Tariffs za TANESCO zipoje?

    Ikiwa remote au CIU kitaalam inonyesha Err 77 ujue ni kuwa hakuna mawasiliano kati ya hiyo remote CIU na mita MCU hivyo kuna sababu kadhaa za kujua hilo tatizo linasababishwa na nini. 1) Hakuna complete path kati ya hivyo vitu viwili either kutokana na loose connection au umechomeka remote...
  13. mjomba wa kale

    Je, Nipoteze mda na yeye?

    Mtu hata umri wake sahihi haujui hapo utamshauri nini? Fanya unachokifikiria kwa sshv
  14. mjomba wa kale

    Magufuli atashindwa kama Nyerere

    Exactly, kwani Dar kuna beach moja tu kwanini hakutaka kuwekeza kwenye beach nyingine? Aende zake kama vipi kuna mapori kibao anaweza kuweka atakacho kwakuwa ana pesa na akavutia watu lakini kwa COCO BEACH ni Big No
  15. mjomba wa kale

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Wewe ndio una mawazo ya kijinga kupita maelezo ni bora ungejikalia kimya
  16. mjomba wa kale

    Rais Magufuli afuta sherehe za maazimisho ya siku ya UKIMWI, fedha zinunue dawa...

    Safiiiiiiiiiiiii hayo ndio mabadiliko ya kweli goo goo goo JPM
  17. mjomba wa kale

    Hivi kuna mashirika ya umma yaliyolaumiwa kutafuna pesa hovyo kama haya?

    Tanesco unaionea ndugu, kwa hayo mengine sawa
Back
Top Bottom