Search results

  1. L

    Eti mama anayenyonyesha anaweza beba mimba kama akikutana na mwanaume kimwili?

    inawezekana kama unaona huko atakuwa kwenye uangalizi mzuri zaidi
  2. L

    Kosa gani hutoweza kumsamehe mpenzi wako ?

    Nikigundua yeye anaenenda kinyume na maumbile,lo!sitamsamehe kamwe
  3. L

    Eti mama anayenyonyesha anaweza beba mimba kama akikutana na mwanaume kimwili?

    Anapataa tena kwa uhakika bila chenga hata me imenitokea,hata kama mtoto ana miezi nane,amwachishe kunyonya na ikiwezekana kama alikuwa analala naye mtoto aache mara moja,joto la mama kama mjamzito pia huchangia kumwathiri mtoto kama alikuwa bado hajaacha kunyonya,alafu wazazi wa mtoto mfuatilie...
  4. L

    SONGEA - Pametulia?

    Pametulia kiasi,hatujui wananchi wanafikiria nini,maana wenzao wameuwawa kwa risasi na polisi,hatujui hasira iliyopo mioyoni mwao,mungu atunusuru sisi wasongea isiwe kama ile vita ya wanajeshi na wananchi ya kuchomeana vitu
  5. L

    Pendekezo: RPC Kamuhanda (Ruvuma) ajiuzulu kwa kulea majambazi; kauli yake ni ya utata aombe radhi!

    dah we unaonekana sio mtanzania,hivi kaa chini ujiulize nini maana ya kuchagua viongozi,usilete maneno ya biblia pengine hata maana hujui,sasa kama we ni kiongozi wa ulinzi na usalama,halafu usalama haupo unategemea nini?toka waache wanaojua wajibu wao wafanye kazi,eti we ni mwanausalama afu ndo...
  6. L

    Kwa mara nyingine serikali imenisikitisha sana!!

    Wanataka kufidia kwa haraka hela walizowaongezea madaktari,lakini wanasahau kwamba wanatumia nguvu,pole kaka hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania
  7. L

    Maandamano makubwa Songea!

    Hali ni tete mpaka sasa,ofisi moja ya ccm imebomolewa,baadhi ya huduma za jamii zimefungwa,idadi kubwa ya wananchi ni majeruhi na wengine ni marehemu,watoto wa shule wakimbia hovyo,eti maisha bora kwa kila mtanzania ndio hayo?au amani na utulivu ndio hiyo ya watu kuuwawa?jamani niombeeni mpaka...
  8. L

    Maandamano makubwa Songea!

    wananchi wamechoma matairi mengi barabara zote zinazoingia,wananchi wamechachamaa hawaogopi polisi wala f.f.u na mabomu yao,ofisi ya ccm imebomolewa na baada ya polisi kuuwa raia ndo vurugu zimezidi watu wanatoka majumbani kwenda kuungana na wenzao,shule zimefungwa watoto wamerudishwa...
  9. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    thanks mkaka
  10. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    Nina sifa zote kama mwanamke kamili
  11. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    Afu mi cna mdogo wala wazazi
  12. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    ASANTE BISHANGA,yanipasa kushukuru hata kwa jokes zako lakini tambua niko serious,na kama niko serious jokes zako haziwezi kunikatisha tamaa,ili ufanikiwe na wakosoaji wanahitajika
  13. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    ASANTE KAKA.kama mi nataabika hili basi nawe kama binadamu lazima utakutana na changamoto katika lile utalotaabiikia
  14. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    ASANTE BISHANGA,yanipasa kushukuru hata kwa jokes zako lakini tambua niko serious,na kama niko serious jokes zako haziwezi kunikatisha tamaa,ili ufanikiwe na wakosoaji wanahitajika
  15. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    asante kaka kwa kunielewa na pia nashukuru kwa kunipa moyo,mungu akubariki sana
  16. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    Ukweli sichagui ila mkweli cjampata
  17. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    Apartment haitonisaidia nahitaji mume mwenye upendo wa kweli kwa mimi kama mkewe apartment bila upendo sihitaji@bishanga
  18. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    mwelewa,anayejua majukumu yake kama mume,mwenye mapenzi ya dhati,na awe anajishughulisha,
  19. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    mbona unamjibia wewe maswali?
  20. L

    Wana jf naomba ushauri wenu

    Asante,nakaa dar ,nipo tayari na nitafurahi sana
Back
Top Bottom