Search results

  1. I

    natamani kuacha haka kamchezo lakin nashindwa!!

    usipende kukaa idle pia acha kucheki muvi za ngono kaka
  2. I

    The return of CCM

    thats why am telling u am doubting even what will they do tofauti na ccm, hata hilo la kushika nchi halijashika kiivyo bado watu wengi tu ninaowajua ambao hawana imani na cdm. sasa wanaanza kujichafua na propaganda za ajabu kabisa
  3. I

    The return of CCM

    yani mkuu they make no sense at all, ni propaganda za kitoto kabisa
  4. I

    The return of CCM

    hapo unakosea sana unapoanza matusi pindi unapoambiwa ukweli
  5. I

    The return of CCM

    By the look jinsi CHADEDMA wanavyoendelea na siasa hizi zilizozidi propaganda itawachukua mda sana kufika wanapohitaji. Unapohubiri usafi halafu mtu anajivua gamba na hapo hapo anakuwa kamanda mlitakiwa muangalie kwa sababu hao wanaovua gamba hata kwa mfano halisi wa nyoka akisha vua gamba ana...
  6. I

    Ni nani kati ya mawaziri 55 wa JK wanaweza kujivua magamba na kuvaa magwanda?

    it will never happen, lets be realistic
  7. I

    Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

    sijaelewa unachojaribu kueleza
  8. I

    Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

    what am trying to tell u ni kwamba hawa watu mnaowachukua ni very influential, very powerful, wenye nafasi kubwa ya kubadilisha upepo wa cdm. You must accept this
  9. I

    Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

    brother/sister kiongozi mzuri pia husikiliza
  10. I

    Kwa kigezo hiki january makamba ameshachemsha..........

    poor ideology bro, do not gudje a book by its cover
  11. I

    Simbachawene: Toka mpiga debe hadi Naibu waziri

    Unajaribu kutuambia nini hapa?
  12. I

    Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

    Unathibitishaje ccm yote imeoza ndugu yangu?, you should be reasoning before talking, ccm ina members wasafi na wazuri kuliko hata cdm
  13. I

    Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

    first i should declare my interest" mimi sio member wa chadema" ila ninatamani changes katika nchi yangu. sasa kinachoendelea ndani ya cdm kinasikitisha na kinapelekea ku loose interest yao ya kupinga ufisadi. nimekuwa na bahati ya kuwa karibu na baadhi ya viongozi wa chadema na hawa wanaccm...
  14. I

    Uteuzi wangu ni heshima kubwa kwa NCCR - Mbatia

    jamani sisi ni great thinkers, kwanini tunaongea bila ku reason? we should reason before talking maana itafanya tuonekane wapumbavu
  15. I

    Nimejivua Gamba Rasmi

    safi sana mkuu. tubaki tuendelee ku fight
  16. I

    Barua kwa Lowassa

    arumeru alienda kama ambavyo mwanaccm yeyote ambavyo angeweza kwenda huko.
  17. I

    Tatizo la ndoto pevu.

    Habari zenu wakuu? Ana miaka 26 lakini toka azaliwe hajawahi kupata zile ndoto pevu(wet dreams).. Hii ndio case niliyoombwa ushauri. Imeniwia vigumu kumjibu haraka. Je ni tatizo la kawaida? Kabla ya kukutana na mshkaji ckuwah kuhisi kama kunamtu anaweza asipate hizi ndoto. Ushauri wenu jamani..
  18. I

    Mtei, Jussa watu hatari zaidi kupata kutokea Tanzania

    chadema bwana! Kwa vile kaongea mzee mtei sio kesi kubwa, angekuwa kaongea mzee wa ccm hapa jf pangelipuka. Jaribuni kuwa realistic kama zitto.
  19. I

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Nachukia sana watu ambao kila kitu wanahusisha na siasa.
Back
Top Bottom