Search results

  1. BAGAH

    Car4Sale Rav 4 Kill time 8.5 mil only

    Sorry picha nilituma niliruka yenye namba ya gari, hata hivyo kwa mtu kama ni mnunuaji hangeshindwa kupata namba ya gari.
  2. BAGAH

    Car4Sale Rav 4 Kill time 8.5 mil only

    Namba B, 124,000 km
  3. BAGAH

    Car4Sale Rav 4 Kill time 8.5 mil only

    Habari wadau, nauza gari yangu Rav 4 Kill time, iko kwenye hali nzuri na unaweza kuiona wakati wowote. Kwa mawasiliano nichek 0713339910 (wanaohitaji kweli) Manufactured - 2000 Engine size 1998 5 doors
  4. BAGAH

    Natafuta Hiace ya kununua Dar!

    Hapana mkuu wangu. Ningependelea Toyota
  5. BAGAH

    Natafuta Hiace ya kununua Dar!

    Wakuu natafuta Hiace ya kununua, kwa ajili ya kuitumia kama daladala Mkoani.. Iwe 3L, manual, diesel. Wanaojua izi mambo tuwasiliane 0755905286
  6. BAGAH

    Nauza Rav 4 J- "Kill time"

    Habari wapendwa, Nauza gari yangu (mimi ni owner), Rav 4 J.. Imetembea KM 200,000, Year of manufacture 2000, engine capacity 1998, haijawahi kupata ajali, wala kupakwa rangi,.. Location- Dar, kwa dar unaletewa kuikagua ukiwa na fundi wako. Bei mil 11.5 (maongezi kidogo yapo) Contact...
  7. BAGAH

    SMS na ujumbe za kumfanya mumeo awahi kurudi nyumbani

    Haina shida... Naona imeendana na viatu vyake.. Malizia koti mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. BAGAH

    SMS na ujumbe za kumfanya mumeo awahi kurudi nyumbani

    Mkuu nimecheka sana.. Hii material ya kitambaa hatari. Na zipu mbona iko waziwazi sana[emoji23]
  9. BAGAH

    Document controller is needed

    Tuna tafuta Document Controller .Graduate in record keeping or Library, Min 5yrs experience location is site camp along the SGR-Standard Gauge Railway- construction work. If you know somebody please let me know urgently by 30/11/2017
  10. BAGAH

    Material engineer anahitajika-road project

    Material engineer mwenye uzoefu hata wa miaka miwili kwa miradi ya barabara tafadhali tuwasiliane- ASAP!
  11. BAGAH

    Iphone 6 for sale!!

    Njoo pm
  12. BAGAH

    Iphone 6 for sale!!

    Nauza i phone 6 16gb kwa laki 6 maongezi kidogo yapo... Imetumika miezi nane
  13. BAGAH

    Nafasi ya kazi- QS na Traffic Officer/engineer

    Wadau habari, kuna mradi wa barabara hapa Dar, na anahitajika Quantity surveyor na Traffic engineer/ officer QS- lazima awe na uzoefu wa road construction projects Details zaidi naomba interested candidates tuwasiliane
  14. BAGAH

    Mkopo- Muongozo

    Habari, Wakuu wapi napata mkopo nikiwa na kadi ya gari tu?
  15. BAGAH

    Engine ya free lander

    asanteni sana wadau wacha nifanye kama mlivoshauri
  16. BAGAH

    Engine ya free lander

    Habari zenu wakuu, msaada engine ya free lander inafutwa..urgently. Msaada naweza kupata/kuagiza wapi - kindly see attached card for more details
  17. BAGAH

    Nimewakumbuka tu hawa watu

    Hata mm nipo...😝😜
  18. BAGAH

    Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

    Jana ndo nilikua namtizama kwa kumtafakari...ila sifaham historia yake.bt yuko poa sana ktk kazi yake.
  19. BAGAH

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Nimejikuta nasoma kurasa hadi kurasa...cheka sanaa...noma dunia nzima..chumvi kiungo muhimu
Back
Top Bottom