Search results

  1. isamilo1982

    Natafuta mchumba binti

    utapata usijali Mungu ni mwema.
  2. isamilo1982

    natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wakawaida wakike nawakiume kwaajili yakushauriana,umri wowote,aliyetayari namkaribisha.
  3. isamilo1982

    Msaada Wakuu wangu

    jamani haya majibu mengine nayo kaaaazi kwelikweli
  4. isamilo1982

    Natafuta mchumba

    wewe mwenyewe unavigezo gani johnson? umeandika haraka haraka kama unakimbizwa
  5. isamilo1982

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    mie vigezo vyote ninavyo ila hapo kwenye diploma sasa ndo cv haijakamilika du!!!
  6. isamilo1982

    Natafuta mchumba (girlfriend)

    utapata usijali ile omba Mungu manake mafisadi wa mapenzi wako wengi ila tu na wewe usije kuwa m1 wao.
  7. isamilo1982

    I think am in love na mke wa fisadi

    ulivoanza nae mbona hukutuuliza?saiv amekukera nini hadi utake kumwacha,we endelea huku ukijua kila alae cha mwenzie nae huliwa!!!!!!!!!!!!!!
  8. isamilo1982

    Niko njiapanda Sijielewi Jamani

    ukishikwa shikamana,mpende akupendae,alafu ukae ukijua mapenzi ya ivo siku iz hakuna mwanamke/mwanaume akikukataa achana naye songa mbele.
  9. isamilo1982

    Wadada mnapenda tutokeje...

    loooh!smile umenchekesha du~~~~~~~~~
  10. isamilo1982

    oeni mapemaaaa....lol

    kasema nani majuto anaitwa mjomba? siku zote ataitwa mjukuu 2.
  11. isamilo1982

    Wanawake wa kabila la wazinza

    umempata au unatafuta wakabila hilo?kama umempata sasa kwanini usimuulize hayo yote? ye ndo atakwambia ukweli humu ndani tutakudanganya!
  12. isamilo1982

    Dogo akaja mikono mitupu!

    umeonaeeeeeee!!!!!!
  13. isamilo1982

    Hivi SEX ni love!

    na wanaobaka nakubakwa wanasemaje?
  14. isamilo1982

    Nilipomwambia hadi tupime hiv status.

    achana nae bana kama hataki kupima.
Back
Top Bottom