Search results

  1. piper

    Spika Ndugai anachanganya sana mambo. Hawezi akajilinganisha na Prof. Assad kabisa

    🤣🤣🤣kwamba kuna vidole havipo????
  2. piper

    Meseji iliyoniumiza mpaka nikashindwa kuijibu. Ushauri wenu jamani

    Mwana ulizingua, ile day one tu mtu anaingia lodge halafu unamuacha asepe, shame, samaki kanasa kwenye chambo halafu unamnasua????serves u right alivyokupa za mbavu, shubamiiit
  3. piper

    Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

    Anamkaribisha mkulu wa kaya CDM
  4. piper

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Well stated ukawa ndo habari ya mujini kama unabisha sogelea moto uwake
  5. piper

    Mrejesho wageni kutoka Kijijini: Sabasaba yangu imevurugika

    Hivi Shabaan Robert alitunga kitabu chake cha "KUSADIKIKA" MWAKA GANI VILE?
  6. piper

    wabunge wa CCM bwana!

    Mimi siwalaumu sana ccm na mibunge yao, ila akili za watanzania sijui nani aliyeturoga tunaona watu wanavyoboronga bungeni lakini tunawarudisha hao hao tena, 2015 ccm wakishinda kwa kishindo kama wanavyojitapa itabidi ushauri wa Mkosamali ufanyiwe upembuzi yakinifu tutafute consultancy wa...
  7. piper

    Jamani shemeji mchepuko ananiwazisha

    Loading.....:typing:
  8. piper

    Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

    Wamlaumu nani wakati timu yao ni mchekea? Gerald ashazeeka kwa hiyo timu haina jipya.
  9. piper

    Prof. Kitila ushauri wako kwa Zitto utampotosha tena

    Kweli kabisa mkuu haujakosea Lissu ana akili mbovu ajabu ndo maana kwenye mjadala wa bungeni kuhusu escrow aligeuka SI unit maana kila kitu alikuwa anaulizwa yeye, small minds discuss people by the way Lissu ni mnyaturu.
  10. piper

    Nimekata tamaa ya kuolewa

    Hahahaha, mjeshi acha hzo
  11. piper

    Nyota ya Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu yang'ara

    Mkuu sometimes si vizuri kuongea kama huna facts on the ground, Mwalimu alikuwa groomed CDM muda mrefu sana toka akiwa channel 10, hata mwaka 2005 ni mmoja wa wana habari waliozunguka sana na kampeni za CDM, alikuwepo kwa kazi maalum, so usiende spidi tafuta kadi yake ya uanachama uangalie...
  12. piper

    Kitu hicho

    Mkuu kulikoni unasema mashallah kwa dume jike?
  13. piper

    Simuelewi hapokei simu yangu, akijibu message basi ni kwa kifupi

    Sure thing bidada, chipsi yai huenda zinahusika
  14. piper

    Simuelewi hapokei simu yangu, akijibu message basi ni kwa kifupi

    Inaonekana hukusimamia show mkuu, hence umeperform below expectations
  15. piper

    Huyu anastahili kifungo cha maisha

    I concur mkuu
  16. piper

    Mpenzi wangu hataki nimuoe bila mimi kwenda kwao

    Hahahaha, sure thing mkuu
  17. piper

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Nilikuwa nafikiri wanasombwa bure baadaye kuachwa huko mkutanoni kama lichama fulani lifanyavyo kumbe wanajitolea wenyewe kuhudhuria kwa hela zao kweli magamba lazima watage
  18. piper

    Tanzia: Mzito Kabwela afiwa na mama yake mzazi

    Pole sana kwa msiba Mkuu
Back
Top Bottom