Search results

  1. Lazarus

    Mpenzi wangu ananiomba mchezo ambao siyo

    Mpe kwani umenunua hicho..
  2. Lazarus

    Tecno camon C9 inauzwa

    Tecno camon c9 Internal 16gb Ram 2gb 4g 13 megapixel Front & Back Used 1month 275, 000 tshs. 0716880022
  3. Lazarus

    Email from James - Jeddah

    Starring kauwawa
  4. Lazarus

    Najichukia uso wangu

    Nenda manzese kajifunze boxer, wiki tu utafanana na mashari.
  5. Lazarus

    Namtafuta huyu dada kwa nguvu zote

    Kila la heri
  6. Lazarus

    Wadada: Hizi Makeup, give us a break

    Mdau hujui kipendacho roho hula nyama mbichi..
  7. Lazarus

    Hivi huu ni utumwa mambo leo au ndicho kilichodiskasiwa Beijing?

    Kajifanya kachoka anataka apande bajaji.
  8. Lazarus

    Acha maisha ya zimamoto

    Kweli kabisa, ila Mkuu uliwahi kufanya kazi zimamoto au umeamua tu kulitumia hilo neno..
  9. Lazarus

    Wadada: Hizi Makeup, give us a break

    Kweli tunatofautiana mkuu, mwanamke asipotumia powder kwangu Big No.
  10. Lazarus

    Msichana wa zamani anahitaji nimchangie anunue iPhone 6

    Sasa mkuu kwani alikutapeli au kukuibia pesa? Si alikusaliti sasa unalipiza kwa kumtapeli sio sawa. Mrudishie hiyo laki na umuambie huwezi kumuongezea.
  11. Lazarus

    Kwa wanaume tu: Kukumbushana

    Kupenda noma, we sikia tu.
  12. Lazarus

    Kuachana kunauma zaidi kuliko kuvumiliana

    Pole sana mdau, ila usikubali moyo ufanye maamuzi utapoteza vingi tumia akili.
  13. Lazarus

    Usiku mwema

    Mimi mtu mzima aisee..
  14. Lazarus

    Usiku mwema

    Dalili za kuwa single hizi..
  15. Lazarus

    Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

    Ukafikiria ukaona bora utest kama nje ni patamu au vp... Kicheeechee
  16. Lazarus

    Wadada mnaotaka ndoa kwa nguvu mnatutesa wadandia magheto

    Mkuu umenikumbusha mbali 2005 hiyo, kuna muda dem anakuja saa8 eti kashindwa kulala inabidi nilale chini alale na jamaa, nikabadili gia angani nalala msikitini, huku nakaza buti. Upepo ukabadilika mambo safi, mwaka juzi kaja na yeye hana pakulala nimpe tag, maisha haya...
  17. Lazarus

    Jina la duka la nguo za kike Kinondoni

    Classic meaning za dukani au mtumba? Kama za duka ukifika kinondoni studio umefika, kulia Robbyone, afu pembeni yapo kama 7 tofauti wewe tu.
Back
Top Bottom