hapo mkuu jaribu kuiconnect kwenye computer nyingine yenye antivirus ya ukweli halafu scan kabisa kisha irudishie kwenye computer yake uone. ikishindikana ndo hamisha data na u fomati
jamani os ilianza kabla ya compiler kwani compiler ni kwaajili ya kutafsiri lugha fulani ya kikomputa iweze kuendana na ile ya assembly language. kwahiyo mtu akitumia assembly language tu halazimiki kuwa na compiler
Nina server ya dell poweredge 1800 ilizima ghafla na baadae ikawa inabrink rangi kama ya njano hivi kila nikijaribu kuangalia tatizo silipati na mara ya kwanza ilifanya hivyo na baadae ilirudi yenyewe. Sasa imeanza tena nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.