Search results

  1. F

    TPA vipi?

    Wahi ukasome, majina yamebandikwa pale geti namba 3
  2. F

    Serikali ya malawi kushusha thamani ya pesa yake kwa asilimia hamsini.

    Bora wale wanaoweka akiba zao kwa Dola za Kimarekani. Wao wataendelea kupeta. :usa2:
  3. F

    Museveni: Mali za mafisadi zitaifishwe

    Aanze kutaifisha mali zake kwanza.
  4. F

    Wizi waibuka Bandari Dar- Magari yachomolewa vifaa

    Sioni sababu ya kuwa na bandari za nchi kavu zinazomilikiwa na watu binafsi. Hivi kweli serikali imeshindwa kutafuta endeo la kutunza hayo magari?
  5. F

    Polisi 4 wafukuzwa kwa rushwa ya kumbambikiza ugoni mchina

    Rushwa ni rushwa tu. Iwe ndogo au kubwa zote ni rushwa.
  6. F

    Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Kurasini Mivinjeni, kulikuwa na miti ya mivinje mingi sana kando ya barabara ya kilwa road. Kurasini Shimo la Udongo, walikuwa wanachimba mchanga wa kujengea nyumba. Yale mashimo kwa sasa wameyafanya mabwawa ya maji taka. Ukonga mwembe madafu, kulikuwa na mwembe ambao wanauzia madafu. Majumba...
  7. F

    Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

    Aisee, naona leo zimeongezeka. Jamani, wastueni hao watu waziondoe, kama wameshindwa bora wazime mtandao wao. HILI NALO NI JANGA LA TAIFA.
  8. F

    Chinese Makes fake eggs

    Fake is another name for China.
  9. F

    Augustino Mrema: Behind the Scene

    Kama angekuwa na nafasi ya Pinda kwa sasa, angewapa SIKU SABA wale MAWAZIRI mafisadi wajiuzuru.
  10. F

    simu inahitajika range 150-300/=

    Hiyo bei ni ya Madafu au ya Obama? Au umeweka hiyo dash kwa bahati mbaya ukimaanisha 150300/=?
  11. F

    Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

    Duh! ya leo kali. Jamani mwenye kuweza kuwasiliana nao awastue ili wazifute hizo link.
  12. F

    Spika

    Muheshimiwa spika. Naunga mkono hoja.
  13. F

    Was It A Car Or A Cat I Saw

    Bingwa wa rivasi. Buguruni na Gongo la Mbali wapi mboto?
  14. F

    rest in peace my daddy

    Pole Mc Tilly. RIP Mzee Chizenga.
  15. F

    Swali la nyongeza, Bunge litawaka moto

    Muheshimiwa Spika, nimesahau kuuliza maswali muhimu sana. 1. Kwa kuwa shirika letu la ndege halina ndege hata moja, je, kwa nini bunge lako lisitoe amri ya kuichukua ndege ya rais na kulikabidhi shirika la ndege ili kulinusuru lisife kabisa? 2. Kwa kuwa rais atakuwa hana ndege hivyo hataweza...
  16. F

    Swali la nyongeza, Bunge litawaka moto

    Mheshimiwa Spika, pamoja na majibu mazuri niliyopatiwa, bado nina maswali mawili ya nyongeza. 1. Kwa kuwa mheshimiwa rais amesharudi nchini, na kwa kuwa inasemekana ana safari nyingine kuelekea Malawi, je, tunasuhusiwa kuizuia ndege yake isiruke mpaka atakapowashughulikia hao mawaziri mafisadi...
  17. F

    Meli ya Samaki za Magufuli yaendelea kuzama

    Kulikoni kuiacha izame, ni bora waikodishe kwa mtu binafsi aifanyie kazi. Inasikitisha sana.
  18. F

    Gari nzuri inauzwa bei sawa na bure..

    Tafadhali jaribu kusikiliza na kufata ushauri unaopewa. Tangazo lako lina mapungufu mengi sana. Kwani ulishindwa hata kutaja aina ya gari unayouza mpaka watu wakakuuliza ndo ukataja. Mbona haukugoma kutaja aina ya gari? Kwa nini hayo maswali mengine hautaki kuyajibu? Tatizo lipo wapi? Watu...
  19. F

    Swali la nyongeza, Bunge litawaka moto

    Muheshimiwa spika, kwanza nashuku kwa kuniona na kunipa nafasi ya kuuliza maswali mawili ya nyongeza. 1. Kwa kuwa mawaziri hao wamekubali kuwajibika na kwa kujiuzuru. Je, serikali inampango wa kuwashtaki na kutaifisha mali zao zote? 2. Kwa kuwa mawaziri hao wamejipima wenyewe na kuamua...
Back
Top Bottom