Njia rahisi ni kushuka mafinga unalala halafu siku ya pili kuna mabasi ya moja kwa moja mpaka mgololo kiwandani. Kuna guest house nzuri tu na nyingine za kawaida, nimeishi maeneo hayo.
Kuna maporomoko ya mto kalambo (Kalambo falls) ambayo ni ya pili kwa ukubwa Afrika ingawa yapo katika wilaya ya kalambo km 90 hivi kutoka sumbawanga mjini.
Poa kuna kivutio cha misitu ya hifadhi ya Mbizi km 10 kutoka mjini kati ambako kuna wanyama aina ya mbega wekundu ambao ni endemic kwenye...
Sina hakika kama walikuwa wanasomeshwa na serikali ila wakiwa Mandela walikabidhiwa kwa Vc awatunze na waendelee na kuexercise research pale ili wasikae idle nyumbani
Sidhani kama wao walitunga hizi story itakuwa ni watu wengine maana wao ni vijana wanyenyekevu sana wasio na majivuno na wanapenda kuongea na mtu yeyeote. Ni vichwa kwakweli ukiongea nao
Nawafahamu personally, ni wanyenyekevu sana nilikutana nao pale Nelson Mandela Arusha mwaka 2014 wakiwa wamemaliza degree ya kwanza Havard na serikali iliwaweka pale maana ni taasisi ya utafiti huku wakisubiri kuendelea na masomo yao huko Havard
Inategemea n utratibu utakaokuwa umepangwa mahali husika wakati wa kuupokea. Binafsi nimewahi kuubeba nikiwa mwalimu shule fulani kipindi hicho ulikuja kuzindua majengo. Baadhi ya wanafunzi walipangwa kuupokea na mimi pia niliweza kuubeba na kutembea nao kwa mita kama hamsini hivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.