Search results

  1. josephjul40

    Kuna App inayoweza tumika kuifatiia simu iliyopotea?

    Polisi wanaweza kupata ila sema huwa ka mzunguko na pesa
  2. josephjul40

    Kuna App inayoweza tumika kuifatiia simu iliyopotea?

    Wakuu kama mada inavyojieleza, hivi kuna app ipi au program ipi hata ya kulipia ambayo unaweza set ikawa unaitumia kuifuatilia simu yako kwa kutumia imei namba yake? Ikawa inakupa location ya simu yako ilipo.
  3. josephjul40

    Acer travelmate b113m Bios

    Yenyewe yake ni v2.23S03. Latest iliyopo kwenye website yao ni v2.22 ambayo inakataa na zote ukirudi nyuma hadi ya mwanzo
  4. josephjul40

    Acer travelmate b113m Bios

    Hiyo siyo start up logo, ni bios logo. Hata ukibadili windows ipo tu ila unaweza kui disable na siyo kuiondoa. Kuiondoa ni mpaka kufanya update ya bios na ambayo hizo bios zote za model hiyo zinagoma
  5. josephjul40

    Acer travelmate b113m Bios

    Unapowasha tu inakuja hiyo picha kisha ndio windows ina start normally
  6. josephjul40

    Acer travelmate b113m Bios

    Inapowaka inakuwa inaanza na logo ya picha ya mtu mzungu ambaye ndiye alitoa msaada
  7. josephjul40

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    kwa kweli watu hao wachukuliwe hatua kali za kisheria, haiwezekani kutishiana bastola mchana kweupe hivyo tena kwa mtu kama Nape
  8. josephjul40

    Dolla milioni 1 ni sawa na Tsh ngapi?

    wenzako wamelizwa huko
  9. josephjul40

    Dolla milioni 1 ni sawa na Tsh ngapi?

    Hapo kuwa makini sana, wakikuambia utume pesa tu et kwa ajili ya ku transfer hapo kimbia kabisa, na tena wanaweza kukwambia tuma laki 5 tu
  10. josephjul40

    Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

    Jamani waliochaguliwa Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kwa kozi ya Diploma in Information Technology tujuane basi.
  11. josephjul40

    Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

    Mount meru university- Arusha, halafu tena jina langu limechaguliwa tena huko ADEM bagamoyo[emoji3] [emoji3]
  12. josephjul40

    Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

    Hapo hakuna kuajiliwa baada ya mwaka, ni mpaka miaka yote mitatu iishe
  13. josephjul40

    Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

    Hawa jamaa siwaelewi kabisa, sasa hivi wanaona aibu hata kusema lini tena
Back
Top Bottom