Search results

  1. M

    Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

    Rostam aziz, moja ya watu hatari kwa taifa, aliechangia kuyumbisha nchi na serikali, the masterminder of dubious deals crime, forgery and dirty money, anajiandaa kutoroka na mabililion ya watanzania. Wazalendo mko wap? I cant wait!
  2. M

    Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

    natamani ningekuwa rais ningeifanya zenj mkoa na hao vimbelembele kama jusa ningewarudisha kwao uaharabuni, hawa ndio wanaotududisha nyuima. Tanahitaji raisi mbabe ndio tuendelee. La sivyo hatutafika mahali. Huyu jussa ni ni mtu hatari na si mzalendo kabisa ni mamluki
  3. M

    Wa kurekebisha uvurugaji wa nchi wa miaka 10 ya JK; Migiro?

    mimi naona tuondoe hii system ya kutoa rais ambaye alikuwa yuko nje zaidi tunarudi kulekule ni rahihi kununuliwa na mabepari hii ni inahitaji mtu ambaye ni aggresive, mwanawasa type or kagame ina mambo mazito ya kuondoa mwanamke hataweza kupambana na mijizi sampuli ya rostam na manji.angalao...
  4. M

    Ali Mbarouk Mshimba mgombea wa CHADEMA Jimbo la Uzini Zanzibar

    subiri wachukue nchi ndio uhame
  5. M

    Chadema isitie aibu mrithi wa Regia!

    nashukuru wadau tukisaidie hiki chama hata kam hakitachukua dola angalao kibwebweke kasi ya ufisadi ipungue maana wakti kiwira na epa zinatokea upinzani ulikuwa umeuliwa na mkapaism. pia tuwasidie kwa namna tutakavyoweza wasiangukie shimo la NCCR YA MREMA NA CUF YA MAALIM.
  6. M

    Dkt. Mwakyembe mambo mazito: Ripoti ya ugonjwa wake yaivuruga Serikali

    mwakyende moyo wangu unafarijika kwa sababu sijaona kibayan ulichowafanyia watanzania. nafarijika kwani hata ukitangulia mbele za haki uliyowafanyia watanzania hayatasahaulika. ni wito kwa watanzania wenzangu haki kwa dunia ya leo ni ngumu kuipata na hata ukiipata itakuwa tayari imepotoka...
  7. M

    Wahindi na Waarabu wa Tanzania ni Wabaguzi

    Siku zao zinahesabika ngoja wazalendo washike nchi
  8. M

    JK na Uongozi Uliotukuka

    Mwacheni jk baba wa watu afanye lile analoweza, hii nchi ina matatizo mengi na mengi yalianzia enzi ya mzee ruksa, mrema alipoomba nafasi awashughulikie mkamtosa. Jk sasa amekuta maji yashazidi unga kila faili analoshika haliguski, ndio maana hata wakati mwingine anaamua kutoka nje kupumzika...
  9. M

    Jambo Leo lanunuliwa na Rostam, lahamishiwa New Habari

    Mafisadi wnajipanga kununua tena nchi 2015 wazalendo mko wapi msilale.
  10. M

    Mahakama kuu imetoa hati kukamatwa Nabii na Mtume Josephati Mwingira

    ni dhahiri sasa manabii wa uongo wanaanza kubainika na usaniii wao sasa njenje
  11. M

    Maandamano ya kupinga bei ya umeme kupanda

    Natamani hata yawe leo tunaumizwa kwa sababu ya matumbo ya mafisadi
  12. M

    Unafiki ni usaliti-huwezi niibia kura na kunipiga mabomu halafu nikifa ujifanye ulinipenda

    nimeguswa naa hyo hoja kuna uonevu wa kupindukia kwa wapinzani ndio maana wanaonekana kama maadui. CCM inakesha ikifikiria namna ya kuua upinzani badala ya kufikiria namna ya kujenga nchi.
  13. M

    Chadema bado hawajaonyesha msukumo wa kuleta mabadiliko

    Nimekuwa nikifuatilia matamko mbalimbali ya cdm dhidi ya serikali lakini naona wamekuwa too soft kiasi kwamba hata serikali imeshawazoea.Sijui wameogopa baada kutishwa na kesi au ndio uwezo umefika mwisho. Kama chama kikuu CHA UPINZANI na serikali inayosubiri kuingia madarakani si lazima...
  14. M

    Dr. Slaa Jihadhari na MSIBA wa REGIA MTEMA

    Yap mdau siasa hasa kwa nchi zetu changa zina michezo michafu na ya hatari inyofanywa na watu wachache(political mogul) ili kulinda maslahi yao kila mtu anakiwa kuwa makini hasa wanaharakati hao jamaa wana mbinu nyingi wana uwezo wa kutengeneza hata ajali. Dr mungu amlinde tu maana anasaidia...
  15. M

    Je hii kauli ya "2015 ni zamu ya Wazanzibar" ina mkono wa JK?

    hivi kuna kikundi cha watu wanoamua Raisi wa nchi hii. kama wapo hii ni hatari kubwa. hebu tuamke ikulu isiwe na mwenyewe tena pawe ni mahali pa viongozi waadilifu tu.
  16. M

    Je hii kauli ya "2015 ni zamu ya Wazanzibar" ina mkono wa JK?

    hivi kuna kikundi cha watu wanoamua Raisi wa nchi hii. kama wapo hii ni hatari kubwa. hebu tuamke ikulu isiwe na mwenyewe tena pawe ni mahali pa viongozi waadilifu tu.
  17. M

    Kitengo, sera za usalama CHADEMA viimarishwe

    Nakuunga mkono, kwa mtazamo wa kawaida kulikuwa na uzembe, cdm wanatakiwa kuhakikisha usalama wa viongozi wao hilo ni jukumu la chama ukizingatia ndio chama kikuu cha upinzani.
  18. M

    Kazi ya kubadili mfumo uliopo ni ngumu kuliko tunavyodhania

    KAZI YA KULETA MABADILIKO KTK NCHI HII HAIJAWAHI KUWA RAHISI, KUNA CHANGAMOTO NYINGI AMBAZO ZINATAKIWA KUFANYIWA KAZI MAPEMA. MFUMO ULIOPO NI WA MUDA MREFU UNA MIZIZI MIZITO. HUWEZI UKAMTISHIA KWA KUMWAMBIA WEWE NI FISADI IKATOSHA KUNG'OA MFUMO HUO. CDM HATA IKITUMIA NGUVU YA UMMA BADO...
  19. M

    Regia mtema: The candle in the wind

    I am always deeply inspired and impressed with those young energetic and dedicated youth leaders and activists like the Late Regia Mtema.This is due to the fact that they are very few, Also It occurs in rare to see a lady with such disability engage in Political issues. I know some people...
Back
Top Bottom