Search results

  1. Moorio

    Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

    Hongera sana kaka Mshana hii ni fursa nzuri sana aiseee Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  2. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amina kaka tuombeane tu Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  3. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Siku 12 tu kwa miez ya mwaka kesho Mungu akijaalia ni siku ya 5 najitahid kula vyema jion na matunda na maji ya kutosha hayo masaa ya mchana Roho Mtakatifu anajua ngoja twende kiimani nimemwomba kwamba nanyonyesha na anajua .....vita ya kiroho niliyonayo bila kufunga mkanda sitofika mwalimu...
  4. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ila wa matunda pekee bado sijaanza nimeanza na wakawaida mana hata huu ulikuwa unanipiga chenga; Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  5. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Shaloom mtumishi.. kiukwel mimi nimeweza kwa msaada wa Mungu,leo ni siku ya 4...nafunga saa 12 asubuh had 12 jion bila chochote...nimeomba Roho Mtakatifu anisaidie yani ....nimehimili ingawa leo niliamka nikawa nahis kama njaa mana ninanyonyesha mtoto wa miezi 5 na week 2 ...ila nikasema...
  6. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Huu mfungo wa matunda ulinipita ila nimesoma maelezo uliorudia hapo mwalimu...je unashindia matunda pekee kwa siku hizo 7 au unakuwa unafunga bila kula kitu masaa 12 mfano 12asubuhi hadi 12jion then unakula matunda had kesho tena jioni? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  7. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimecheka kama mazuri vile...ila mimi leo natia nia lazima nifunge,nia ya mwili sikuzote ni mauti...mwili hautaki mambo ya uzima wa milele ndio mana daima unapingana nasi....Mungu anisaidie mwaka umeanza mwez hauwez kuisha bila kufunga na kuukabidhi mwaka kwa...
  8. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mungu anisaidie mana na mim nakwamaga hapa sana ..nikiwa sina nia ya kufunga naweza jikuta siku imeisha wala siwaz habar ya msosi na sihisi njaa...ila tu nikiweka nia ya kufunga kufika saa 4 tu asubh unaanza hisi hadi mwil unatetemeka njaa hujiwez unataman tu kula...woi Mungu aniwezeshe nivuke...
  9. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Nawe pia mwalimu,iwe heri nyingi na baraka kwako na familia Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  10. Moorio

    Mwigizaji Vin Diesel afunguliwa kesi ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Mfanyakazi wake

    Alikuwa wapia asishtak toka 2010 had leo 2023 inaishia? Au alikuwa anasubiri hela iongezeke apate mgao vyema? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  11. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Asante kwa kushare huu ujumbe nimejifunza jambo nimependa hivyo vitabu nijifunze pia...najua siku moja nami nitashuhudia matendo makuu ya Mungu. Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  12. Moorio

    Dark days 17/03/20...

    Maono waliyopewa ni hayo kuwa kuna tukio kubwa litatikisa nchi na vifo vya viongozi tukashirikishwa hivyo tuombe tu Ni kwel kwa nyakati hizi hakuna jambo la kupuuzia kabisa haswa jambo linalonenwa na wengi maana yake Mungu anaweka msisitizo juu ya hilo jambo... Tuombe rehema za Mungu tuvuke...
  13. Moorio

    Dark days 17/03/20...

    Kwenye huduma tunayosali tumepata haya mafunuo pia...na sio mara ya kwanza kusikia haya...watumishi mbalimbali wamekuwa wakitabiri sana Tuungane pamoja kuombea taifa letu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  14. Moorio

    NMB acheni wizi kwa wateja wenu

    Hawa jamaa hata ukiangalia balance tu kwa app imekwenda wanakata yan nilikuwa sijui ila nikashangaa mbona kuna hela zinakwenda sijui zinakoenda kuja kustuka ni app kuchek salio na mim nilikuwa natumia nikijua bure kama tigopesa app na mpesa app kumbe sivyo Sent from my SM-A042F using...
  15. Moorio

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hatimae na mim nimesoma mwanzo mwisho mbarikiwe sana ingawa nimeruka baadhi ya sms ila nimepata mengi kunihusu ...namshukuru Mungu kwa uzi huu kuwepo mahali hapa nimepata fungu langu...mwalimu 7seven naomba nikucheki inbox Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  16. Moorio

    Naomba kujuzwa kuhusu ajira za TRA 2023

    Dah ndugu yangu ajira zenyewe tunazisotea sana aiseee... Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  17. Moorio

    Naomba kujuzwa kuhusu ajira za TRA 2023

    Duh hii oral ict yametoka lini tena?🥲[emoji17][emoji25] Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  18. Moorio

    Dark days 17/03/20...

    Bro nyumbua kidogo code ya FDR Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  19. Moorio

    Zile Makelele za Kukatika Katika Kwa Umeme Zimeishia Wapi?

    Upungufu wa umeme umeisha lini? Mbona huku mji wa makao maguu tuna mgao kama kawaida wamekata? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  20. Moorio

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    UTT riba ni 10% kwa mwaka fixed ,kwa mtu wa 10M kwa mwez gawio linacheza kati ya 83,000/- hapo cash kwa mwaka ni 1M gawio
Back
Top Bottom