Search results

  1. K

    Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

    Kwa sasa kazi kubwa inayofanyika ni kutunga story mbaya (ambayo si ya ukweli) na kuonyesha kuwa uongozi wa mwendazake (JPM) ulikua ni mbaya na ulididimiza nchi. Baada ya kuahalilisha hicho wanachokitunga kwa baadhi na kukieneza basi wenye malengo yao wataanza kutekeleza wanacho-plan na kukitetea...
  2. K

    Edo Kumwembe na mhariri Mwananchi muwaombe radhi wakazi wa mkoa wa Mara

    Nadhani anayetakiwa kubalika ni huyo Edo mwenyewe, na pia ndo anayetakiwa kujiuliza "yeye binafsi yukoje" na siyo watu wa Mara wakoje. Kwanza anaonekana ana dharau sana kwa watu wa Mara, hakika hiyo makala yake ina maudhi sana kwa wana Mara.
  3. K

    Albert Msando akimuweka sawa Mh Zitto Kabwe juu la "CAG na Spika"

    Hakika Alberto ameeleza kitu ambacho ni sahihi kabisa. Nina hakika Zitto na baadhi ya wanaolikomalia hili jambo wanaelewa ila wanajaribu kulitumia kwa namna yenye manufaa kwao kama wanasiasa. Pamoja na kwamba Ndugai alivuka mipaka na kutumia lugha ambayo haikutarajiwa kutumiwa na mtu kama yeye...
  4. K

    Naona kama Nape anaelekea muelekeo mbaya

    Ni upuuzi na ufinyu wa kifikra kwa mtu aliyefikia hadi ngazi ya uwaziri kulalamikia ununuzi wa ndege ktk nchi ambayo haikuwa na ndege hata moja! Hata kabla ya huo ununuzi wa ndege hiyo matatizo ya wananchi ktk jimbo lake yalikuwepo (tena akiwa waziri). Kama mbunge inaonekana hana msaada zaidi...
  5. K

    Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

    Miaka michache nyuma upinzani (hasa Chadema) ulijengwa kwa misingi sahihi na inayostahili kisiasa, hadi ikavutia watu wengi na wengine maarufu (kama mawaziri mkuu wawili wastaafu). Ilionekana ni tegemeo mbadala ktk uongozi wa nchi. Ajabu baada ya stratejia ya chama kushikwa na watu wengine (kwa...
  6. K

    Hoja Fupi: Ilikuwa ni Makosa kwa Vyombo vya Habari Kumsusia RC Dar

    Nami nakubaliana na hoja ya Mwanakijiji. Tena mbaya zaidi vyombo vya habari vinashurutisha wale wasiokua tayari - kuwa mwandishi yeyote atakaekwenda kinyume na matakwa hayo (ambayo si sahihi) atachukuliwa hatua. Ni kweli siyo wajibu wa vyombo vya habari kuchukua hatua walizozichukua!
  7. K

    Tetesi: Polepole Kuitisha Kikao kuwajadili Nape na Bashe, ni baada ya Kinana kugoma

    Ukisikiliza point za Nape na Bashe Bungeni ni tofauti sana, mimi sioni sababu ya kuwajumuisha ktk group moja hawa wawili. Hata kama point za Bashe zinaweza kuwa zinaichoma serikali lkn huwa ni point zenye maana na zina manufaa sana zikifuatiliwa. Bashe huwa anaongea kitaalamu kabisa na kwa mtu...
  8. K

    Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

    Ukisoma nilichoandika utagundua kuwa sijakataa kuwa Lisu ni mwanasheria mahiri, ila haina maana kuwa ni yeye tu aliye mahiri (kuna wengi sana wabobezi ktk sheria zaidi yake lkn wao si wanasiasa ). Mtizamo wangu ni kuwa mara zote anawasilisha maoni yake kwa mtizamo hasi ambao wakati mwingine...
  9. K

    Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

    Nilitegemea Tundu Lisu kama Rais wa chama cha wanasheria angeongea tofauti na alivyofanya, amejikita ku-criticize kama kawaida yake. Waziri wa sharia alisema kuwa sharia mpya huanza kuwa applied pale inapotungwa na kupishwa (haiendi nyuma), na kuwa kwa mikataba ya madini iliyokwishaingiwa kabla...
  10. K

    Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Ili kutenda haki kwa pande zote ni vema pia kubadilisha hili: ikiwa mtoto wa kike ataruhusiwa kuendelea na masomo baada ya kujifungua basi inabidi ile sheria inayomtaka mtu yeyote atakayetembea na binti wa chini ya miaka 18 kutumikia kifungo cha miaka 30 jela nayo ibadilike. Hakuna haki kumfunga...
  11. K

    ''Uende kunishtaki wakati nakulinda na jeshi langu?'' Tunavutia wawekezaji gani na kauli kama hizi?

    Ila mimi bado nasubiri siku moja Lissu aongee kama rais wa chama cha wanasheria, lkn kila nikimsikiliza naona anaongea kama mwanaharakati wa sheria na akisimama kwa nafasi yake ya mwanasheria wa chama kikuu cha upinzani. Baadhi ya siku akiwa anaongea kwa kutenganisha hizo kofia zake mbili (kwa...
  12. K

    Angekuwa yule mnadhani angefanya kama anayoyafanya huyu?

    Wakati wa kutangaza nia akigombea urais kupitia CCM aliambatana na akina Kalamagi, na akawatambusha mbele y kadamnasi kuwa ni watu wanaotakiwa kuigwa katkika nchi hii. Eti wanachukia umasikini kama anavyouchukia yeye. Kwa hiyo haya yanayofanyika ni kinyume kabisa na mahitaji ya Lowasa.
  13. K

    ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    Unaongea kana kwamba wewe ndo mmiliki wa kampuni ya Acacia na unatoka nchi nyingine kabisa na wala si mtanzania!
  14. K

    Narudia tena kukwambia Maalim Seif

    Maalim Sharief, kama una msimamo wa kutokaa meza moja na Lipumba na kuona ni afadhari ukakaa na CCm basi naona wewe ndo unasababisha mgogoro huu kutoisha. Acha kinyongo na ubinafsi, chama ni cha wanachama wote nanyi wawili ni viongozi tu. Pamoja na chuki zako kwa Lipumba inabidi ukae naye ili...
  15. K

    Zitto atoa kauli juu ya Zuio la Gesi ya Tanzania kuingia nchini Kenya

    Ni kweli ni muhimu sana Tanzania nayo ichukue hatua stahiki kuhusu hili suala, Zitto ameongea point. Tukikaa kimya na wao wakaendelea kuleta bidhaa zao huku kwetu bila ya masharti hali ya kuwa wanakataa za kwetu hakutakua na umaana wowote. Ni muhimu kama jumuia ya Afrika Mashariki tuwe na "Win...
  16. K

    Maswali yangu 10 kwa Nape Nnauye

    Pamoja na mapungufu yaliyopo serikalini lkn mbinu anayoendelea kuitumia Nape kujifanya ana machungu sana na wananchi na etu kuwa anajiamini na ndo maana katumbuliwa ni udanganyifu mkubwa sana. Nape hata akihamia upande wa pili siyo mtu wa kuaminika na wala hana huko kujiamini anakojisingizia...
  17. K

    Uchaguzi wa EALA ni kwa Maslahi ya CCM au CHADEMA?

    Yereko, sina tatizo na uchambuzi wako, kwani ni kweli tunahitaji kuchagua watu wenye uwezo. Ila kuna kitu ungenisaidia ktk mapungufu uliyoyataja ya wawakilishi waliotangazwa na kuweka mfano wa huyo Fancy. Nilitegemea ueleze upungufu wake badala ya kuweka picha pekee, huenda akawa binti mdogo na...
  18. K

    Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

    Mimi naona kuna baadhi ya mambo yanafanyika kana kwamba chama kina lengo la kujenga taasisi ya kisheria zaidi badala ya kisiasa. Na kikiendelea hivi bila ya kuwa tunarejea tunapokosea huenda kweli tukafanikiwa sana upande wa kisheria (kwa kutangaza wanasheria wetu na kuwapa uwanja wa kuapply...
  19. K

    Ukimya wa Waziri wa Nishati katika Mgogoro wa Mchanga wa Dhahabu unatia Mashaka

    Hao wot Hizo fani zote tatu hufanya kazi pamoja (kwani kila hatua inategemeana na nyingine). Na hata watu waliopo ktk wizara ya Prof Muhongo (upande wa madini) ni wa fani hizo zote, na ndo maana nasema Prof Muhongo anaweza kuwa anajua kinachoendelea (na pengine alishamshauri mkuu lkn...
  20. K

    Ukimya wa Waziri wa Nishati katika Mgogoro wa Mchanga wa Dhahabu unatia Mashaka

    Geologist ni mtaalamu wa miamba (haendi mpaka ktk uzalishaji), hivyo akishajua taarifa zote za miamba na madini yaliyomo anamkabidhi Mining engineer (mhandisi migodi) hizo data ili aweze kuangalia namna ya kuyachimba. Huyo naye akishayachimba inabaki ni kazi ya Mineral Processing engineer...
Back
Top Bottom