Search results

  1. N

    CHADEMA, Mgogoro wa Ruzuku mikoani ni bomu la kulipuka

    kwa hiyo kwa sababu kuna watu wamefanya hivyo na viongozi wakifanya wizi ni sawa sababu pembe au EPA. sasa uadilifu utakuwepo kama wakina flan walifanya wizi na chadema wafanye wizi pia. jamani vipi siasa hizo?
  2. N

    CHADEMA, Mgogoro wa Ruzuku mikoani ni bomu la kulipuka

    sasa ww kama unao si uweke hapa, kwani kinaongelewa na watu ni kweli na ww kama waona ni uongo weka ushahidi wako ili tupate majibu ya haya mambo ambayo yanaumiza kuyasikia
  3. N

    Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

    yan mkuu ni mtihani kweli, majina nayo yamekuwa issue. had yazua mjadala hivyo. hivyo hakuna mambo ya muhimu ya kujadili kuhusu maendeleo ya chama hadi kufikia hatua ya kujua majina ya watu kweli. 2015 kuna kazi kwelikweli
  4. N

    Saed Kubenea - Mapendekezo ya Katiba Mpya

    kweli kabisa maoni yameenda shule na ya mtu aliye kaa na kufikiri, sio mambo ya mgombea binafsi, utawala wa majimbo. keep it up bro.
  5. N

    Ni kweli tunahitaji mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC?

    mkuu naungana na wewe nakumbuka kuna mtu siku moja alikuja na thread akidai serikali ya tanzania kuna haja ya kujiunga na israel katika mahusiano ya kibalozi hata kwa sababu ni nchi iliyotukuka. yani kweli bado mawazo ya kudanganywa kifikra bado yapo kwa enzi hizi kweli jamani? ama kweli kazi...
  6. N

    Ni kweli tunahitaji mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC?

    hivi hizi mahakama ya kadhi na IOC zikiwepo zina athar yoyote katika nchi na kwa udhoefu hiz nchi ambazo zinazo kuna mgogoro wowote umejitokeza hadi iwe issue kwa hapa kwetu? mi naona wache wajiunge maadam sheria za nchi hazivurugwi ama kuingiliwa kwa namna yoyote vile.
  7. N

    Msafara wa magufuli waacha gumzo

    we unafikiri alifanya kwa uwezo wake ndugu yangu. nyumba za wenyewe zile na hawez fanya chochote coz washika dau wakubwa wapo tuu kimyaa. yan hapa kama ikiwezekana kumpata kiongozi wa upinzani huenda zikarudi hizo nyumba
  8. N

    Mtwara: Mbatia ashushwa jukwaani, ni kutokana na kauli yake juu ya suala la gesi

    mali zao? hivi ni kweli kuna mtu ana mali zake za asili katika nchii hii? jamani kweli elimu ya uraia yahitajika sana katika nchi hii.
  9. N

    Ujenzi wa Bomba la Gesi Watanzania Tumeshaingizwa Mkenge kama kawaida yetu

    mi bado nina mashaka sana juu ya hiyo elimu. mbona ufafanuzi ulitolewa kuwa wabunge wote walihusishwa kupewe elimu hiyo na wao wakatoe kwa wananchi. ama elimu gani zaidi yahitajika juu ya hilo?
  10. N

    KADA wa CHADEMA Mahakamani kwa kubaka mwanafunzi

    matukio ya kawaida? hii kweli balaa. yan kubaka ni matukio ya kawaida yangewekewa miaka 30 kifungo? haya mkuu kwa kuona kubaka ni tukio la kawaida
  11. N

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    mkuu kweli kabisa mana wanaonyesha bado wanahasira sana na wazee wa chama sijui ama walichotumwa bado hawajakamilisha. mwaka 2013 ni wa kuungana na kuwa kitu kimoja. tunawaomba nao wajirudi kwa makosa yao kama watakuwa na busara za ukweli.
  12. N

    Live on TBC: Hotuba ya Rais Kikwete kwa Taifa kufunga mwaka 2012

    huwezi endelea ndugu yangu kamauwezo wako ni mdogo wa kugharamia miradi mikubwa kama ya barabara. na kama unakopa kwa riba nafuu mi sioni kama ni tatizo na matokeo ya barabara yaonekana. ama mwenzetu waishi wapi lakini? mazoea ya kupinga kila kitu hakuleti maana.
  13. N

    Ambulance na Chopa za CHADEMA bado azijafika kutoka Uingereza au ilikuwa usanii wa Lema

    hadi mpitishe michango kwanza ndo yafike. kuwen wawazi tuu si lazima kuleta uongo ili watu ambao uelewa wao mdogo waweze vimba vichwa kuwa jamaa analeta vitu flani. siasa na uongo hauna mana kwa enzi hizi. watu wanataka vitendo na sio rongo2
  14. N

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    hivi kwa nini usimwambie azilete hizo taarifa na kuwaweka watu matumbo joto kuwa ana taarifa muhimu.yeye kama amezipata tunazitaka hapa na ushahidi ulijitoshereza
  15. N

    Dr. Lwaitama ndani ya SIBUKA TV akijibu hoja za Nape

    Kwani Usalama wa Taifa ndo unawaweka CCM madarakani? Una ushahidi kwa hilo usemalo ama ndo kama kawaida na mawazo mgando
  16. N

    Tanzania Economy Near Collapse Huku Serikali Ya CCM Ikiendeleza Ufisadi

    For sure now Tanzania we need changes whether we like or not. Country with lots of resources with poor management and finally hardness of life to every one except mafisadi and mafedha yao kuyapeleka uswis
  17. N

    Shigela (CCM) aingilia mgogoro wa CHADEMA, amtetea Juliana Shonza!

    Swali: Jaman hiv martin Shigela huwa ni kijana au Mzee? Maana nikimtazama usoni ile sura yake huwa inanichanganya sana. 2.Pia naskia yale mapete anayoyavaa mikononi ni muendelezo wa ulozi na usangoma.. Du. Mi linijua pete ni mapambo ya kawaida tuu kumbe nayo yatumika kwa kazi ya usangoma...
  18. N

    Uzinduzi rasmi M4C: Live toka Gold Crest - Mwanza (Kwa Kanda ya Ziwa)

    cha kuwaomba zaidi ni kwamba baada ya mkutano watoke kwa usalama na bila kufanya vurugu kama kukwapua mali za watu mitaani
  19. N

    Shilingi bilioni 86 zaibwa Wizara ya Nishati/TANESCO

    kwa jinsi ilivyo taarifa nyingi za CAG hupelekwa bungeni kwa ajili ya kujadiliwa kama ilivyofanyika awali na watu wengi kutoka madarakani, kwa nini taarifa haikufika bungeni na maamuzi kutolewa kama taarifa zingine zilizoenda, kuna nini ndani kinajificha?
  20. N

    Arusha Leo: Picha na matukio mbalimbali ya mkutano wa CCM

    weka picha tuzione sio longo2 za bila ushaidi
Back
Top Bottom