Search results

  1. T

    Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli ni Upi?

    Ukimsoma vizuri mwandishi nguli wa makala kwenye gazeti la raia mwema ndg Joseph Mihangwa utaujua ukweli kuhusu mapinduzi.
  2. T

    Askari wa misitu Arusha waua wanakijiji wanne kwa risasi

    Hata mm hii taarifa inenishangaza sana jmn..tz tumefikia hatua hii kweli
  3. T

    Mnyika: Tuliamua kura za ndio na hapana sababu wagombea wawili huleta mgogoro; Ni sahihi?

    Hyo ni sawa tu mkuu ni uamuzi wa kamati kuu
  4. T

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Wamechelewa sana,maana tupo kwenye point of no return.
  5. T

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Kwa kweli nimesikitishwa sana na kifo cha kamanda,alikuwa bado kijana na nguvu ya kulitumikia taifa,rest in peace M mtoi
  6. T

    Lowassa ndani ya Geita, afanya vitu vyake

    Jana jioni kulikuwa na zoezi la kugawa hela kwa vijaja wa boda boda na wenye magari ya abiria kama hiace na nk
  7. T

    Silinde akanusha yeye na Wenje kufanya maamuzi magumu muda ukifika

    Nilisema jana kwenye thread kuwa hili jukwaa limekosa heshima hata wehu wanaruhusiwa kupost upuuzi
  8. T

    Nyerere, Okello, Jumbe, Shivj na Kifo cha Karume: Nani alimuua Karume?

    Ukitaka kujua ukweli wa hili jambo soma makala za kiutafiti zilizoandikwa na mwandishi mashuhuri hapa tz bwana Joseph Mihangwa,tafuta makala zake kupitia gazeti la raia mwema zinazoitwa,kifo cha karume na mapinduzi ya znz.Hapo ndio utaujua ukweli ila hizi nyingine ni porojo tu.
  9. T

    CHADEMA kususia kuhudhuria mkitano mkuu na uzinduzi wa ACT-Tanzania

    Mnasumbuka na walimu wa UPE
  10. T

    Naomba tutafakari maneno haya ya Bashe kwa Nape

    Ki ukweli EL hachaguliki huo ndio ukweli jmn
  11. T

    Tamko la CHADEMA mkoa wa Geita kuhusu Zitto kuvuliwa uongozi

    Ndg wanajamvi wenzangu na watanzania kwa ujumla, mi nipo hapa geita na ninafanya kazi na katibu wa chadema mkoa wa Geita ndg rogers ruhega,baada ya kuona huu ujinga uliopewa jina la tamko la chadema mkoa wa geita nimekwenda ofisini kwake na kumuuliza juu ya huu upuuzi na haya ndio ya likuwa...
  12. T

    Ufunguzi vicky kamata cup mkoani geita ni aibu tupu

    najitahidi ila haka kamchina kanazingua
  13. T

    Ufunguzi vicky kamata cup mkoani geita ni aibu tupu

    Heshima mbele makamanda,leo hapa mkoani geita kuna ufunguzi wa mashindano ya soka vicky kamata cup ambayo yanafunguliwa leo j2 .Lakini cha kushangaza bado hawa magamba wanatumia ile mbinu ya kusomba watu kwa malori ili kujaza watu uwanjani,hapa kuna watu wamesombwa toka...
  14. T

    Kazi za Dr Slaa Kusini zawasisimua wengi

    Huyo ndio rais wangu ajaye,acha afanye kazi aliyo na wito nayo
  15. T

    PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

    Huu ni wakati wa peoples power,hakuna anayeweza kuzuia hizi harakati za ukombozi
  16. T

    Geita wilaya tajiri kwa madini lakini maskini kuliko zote tz

    Ndg mwana jamvi hivyo ndivyo geita ilivyo kila mahali ni vumbi,hakuna huduma za maana za jamii kama vi hosp,shule,maji safi na salama,zahanati na nk,lakini inavyosikika nje kama vile ni sehemu mahalumu sana,bora 2015 ifike haraka jamani tumechoka na hawa magamba.
  17. T

    Nasikia madaktari wamegoma tena?

    Bora wagome tu,huku geita mkuu wetu wa mkoa anaishi hotel tangu alipokuja kulipoti kwenye kituo cha kazi pamoja na wakuuu wapya wa wilaya,wizi mtupu,gomeni wakuu:israel:
Back
Top Bottom