Search results

  1. Oxpower

    Habarini wakuu hivi nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi hadi finishings?

    Acheni kuleta ujuaji wakuu na kuleta ujenzi wa serikali. Hiyo nyumba mpaka bati ni 20M,finishing utachagua mwenyewe material unayotaka. Na kuna mazingira hata 15 unapiga bati hiyo nyumba.usipate stress za wajuzi wa vitabuni.ingekua hivyo watu wasingejenga
  2. Oxpower

    Je, Haki ya mtoto anayezaliwa nje ya ndoa kisheria imekaaje?

    Sheria inawatambua na kuwalinda kama inajulikana
  3. Oxpower

    TANESCO: Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kuhusishwa na athari za mafuriko ya Kibiti na Rufiji ni kupotosha Umma

    Rufiji suala la mafuriko hata sio mwaka huu tu,labda kama kuna namna bwawa limechangia lkn mara nyingi sana mafuriko hutokea
  4. Oxpower

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Hawa manelod tuliwaogopa bure,pasi zaoo hazina madhara na wanapoteza hovyo pasi
  5. Oxpower

    KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

    Kama kikao kilipitisha hiyo tayari ni sheria lazima utoke ,kama hutaki hamisha mtoto wako mpeleke ukukwe
  6. Oxpower

    Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

    Acha uoga,kama chuma kiko safi oa, Mambo mengine yapo tu.kuhusu kufa utakufa na mkeo utamuacha hata usipomuoa huyo mparestina Nyerere Mwinyi. Jpm Mkapa Kijazi Lowasa. Nk Wote wameacha wake zao,vuta jiko kaa kwa kutulia
  7. Oxpower

    Kama unataka kulinda uchumi na afya yako acha mambo yafuatayo;

    Sema ngono zembe,yani tusirushe viungo ili tutoboe aacha acha ujinga mtoa mada
  8. Oxpower

    FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Ubovu wa Simba unaupima kwa kufungwa na Yanga tu? Hii nchi tuna mashabiki wa hovyo sana
  9. Oxpower

    Hivi ni sahihi kwa mwalimu kumuadhibu mwanafunzi kwa kosa la mzazi kutokufika kwenye kikao?

    Hudhuria vikao na ujue maendeleo ya mwanao kitaluma na kitabia
  10. Oxpower

    Hivi ni sahihi kwa mwalimu kumuadhibu mwanafunzi kwa kosa la mzazi kutokufika kwenye kikao?

    Uchukue uamuzi gani wewe na nani?iko hivi,walimu wanamtuma mtoto akuambie uhudhurie kikao siku fulani,usipotoa udhuru na usipokwenda kikao,walimu wanajua mtoto hakukupa taarifa hivyo anapewa adhabu ili kumkumbusha aache uzembe. Ila walimu wasichojua ni kwamba kuna wazazi hawajielewi kama...
  11. Oxpower

    Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

    sema inakwaza sana,unakuta kavaa kinjunga mtaani hana habari huku kabana tako
  12. Oxpower

    Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    yani umeenda na jamaa yako kwenye suala la mahali?na ukanza kuwambia hayo mambo yote wazazi.dah hapo amna wakwe ni wahuni wenzako
Back
Top Bottom