Search results

  1. PJ

    Bei ya Maji kwa lita 1000 imepanda

    Ndugu Mteja;tunakutaarifu kuwa bei ya majisafi imepanda toka Sh 1,098 hadi sh 1,663 kwa lita 1,000 pia bei majitaka imepanda toka sh.275 hadi sh.386 kwa lita 1,000 kuanzia Dec.2015 maelezo piga(0800110064 au 0222194800) HAPA KAZI TU
  2. PJ

    Message from Juma Mwapachu

    Bravo Brother Mwapachu
  3. PJ

    Uchambuzi wa ahadi za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Anazungumzia foleni ya malori tunduma yanakaa wiki mbili mpakani bila kuhudumiwa. Hii haihaji kuwa Na phd
  4. PJ

    Ipe maneno picha hii!

    Hii ndio sera yetu ya haki sawa kwa wote
  5. PJ

    Picha: kiroba kinapunguza machungu ya mgao wa umeme

    Hivi msimu wa warombo umeisha
  6. PJ

    Hahahaha! Nyerere bwana

    Naona anapata cocktail
  7. PJ

    Top Five hii hapa

    Mimi nina plan B. Bado nitagombea urais na nitashinda
  8. PJ

    Nukuu katika picha

    Watu wenye akili na uwezo wa kuongoza nchi lazima watoke ukanda wa pwani. Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Membe, Makamba, ........... Watanznia wegine ni wasindikizaji tu
  9. PJ

    Picha: Watu ktk ubora wao.

    It is possible by considering Newton's first law of motion. "Everybody continuous in its state of rest or uniform motion on a straight line unless compelled by some external force to act other wise". Therefor the guys at the top and the tennis ball are all moving with the same speed as that of...
  10. PJ

    Kama hujui, hiki ndio kinachoendelea huko the Dominican Republic against Haitian people

    Huo sio unyama ni ubinadamu. Tembo hawezi kumfanyia tembo mwenzake ubaya, wala simba hawezi kumfanyia simba mwenzake ubaya. wanyama wote katika specie zao mbalimbali wanastahiana
  11. PJ

    ILANI:ukiswali huu msikiti uwe na pesa!

    Mwaka jana watu wako kwenye swalaa, simu ya jamaa mmoja ikaita ina wimbo wa Rose Mhango unaosema "NIBEBE, NIBEBE BWANA YESU NIBEMBELEZE". ilikuwa ni kashikashi ndani ya msikiti.
  12. PJ

    Siasa ya bongo: Members only

    Aliekaa kulia kama mtoto wa mkulima vile
  13. PJ

    First lady wa Nigeria

    Buhari is 72 how come his wife looks so young
  14. PJ

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    CCM can fool some people for some time but they can not fool all the people all the time
  15. PJ

    U need to be tough in Africa

    Marvelous
  16. PJ

    Mob Justice

    Na asie na dhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe!! Mtu mmoja manzese alisikia kelele za mwizi akakimbilia akakutana na yule kibaka na kibaka kamgeuzia kibao na kumwita yeye ndiye mwizi akaanza kumpiga. Watu kuja bila kujua kibaka ni nani wakaanza kumpiga na kibaka akatokomea. Damu ya mtu asiye na...
  17. PJ

    Pozi la suti

    Huwa suti haivaliwi na yeboyebo
  18. PJ

    Kumbe kweli

    Hivi ameweka mkorogo?
  19. PJ

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Mwenye masikio na asikie maneno ambayo Roho ayaaambia makanisa
  20. PJ

    Kikwete na Kinana Wafyata Mkia Kwa Lowassa

    Lowasa is not stupid. He has plan B. He knows from the very beginning what will happen on the way. they may think they are containing Lowasa not to contest for the coming election BUT he will emerge as a winner. Viva Lowasa. Safari yoyote katika maisha huwa na makwazo mengi. Hata mtoto...
Back
Top Bottom