Inawezekana hawa jamaa wakawa wametoa majina bila kuwasiliana na vyuo husika? Maana leo asubuhi nimeenda chuoni kuulizia kama ni kweli nimepangwa hapo wakaangalia jina langu halipo.
Naomba nisaidiwe katika hili la matatizo ya Zanzibar, hivi matatizo yao tunayafahamu kweli?
Uchomaji wa Makanisa na Bar unahusiano gani na kudai Zanzibar huru? Mi naomba niwashauri Viongozi wa kisiasa wa Zanzibar waliangalie hili vizuri wanamengi ya kupoteza kuliko Watanganyika kwani mkate wao...
Hivi watanzania tunapelekwa wapi jamani? Naomba wanajamvi mnisaidie hivi Mkuu amekosa wa kuwapa uwaziri ktk wabunge wote wa ccm waliopo bungeni? Hili linaniogopesha yaani ktk wabunge wote waliochaguliwa na wananchi kupitia ccm ni Vilaza hawawezi kusimamia wizara nyeti kama ya nishati na madini...
Jamani wanajamvi tupunguze majibu ya kihuni. Mtu anauliza swali lake la msingi maana sote tunajua Tanzania visiwani(Zanzibar) inatengenezwa na visiwa viwili Pemba na Unguja.Tunapaswa kumwelimisha kuwa Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar. Sasa unavyosema Mafia ni Tanzania...
Mwiba ni mwiba tu ndugu yangu Mbigiri ndogo lakini ikikuchoma lazima unyanyue mguu.
Turudi katika mada, Ni hivi ninachokiona hapo ni malalamiko yake ya kua humfikishi na sio yako ndogo au yake kubwa hapana. Maumbile ya hawa akina Eva yapo sensitive about 5cm kutokea nje kuingia ndani na hata...
Jamani wadau naomba msaada wenu kuhusu huu uvumi wa Rais kutakakuvunja bunge.Je anauwezo wa kikatiba wa kufanya hivyo wakati wote wamechaguliwa na wananchi? na anaweza kufanya hivyo bila yeye kupoteza nafasi yake?
Na pia ufahamu kusomea Udaktari pale IMTU, Bugando, KCMC, Ifakara na St. John ni zaidi ya 3mil. kwa mwaka wakati huo uhasibu unaosema 3mil. ni ADA ya miaka miwili.Achilia mbali miaka ya kusemea udaktari wenyewe. Tusiwe wanafiki kama mtu anastahili mwache apewe na kama na wewe unataka bado...
Pole ndugu yangu kwa uliyoyashuhudia ni kweli hao watoto hawana hatia.
Mimi naamini hilo ni kosa la serekali kwani ilisema itawaleta wanajeshi waje kuziba nafasi za madaktari waliogoma?
Naomba nimshauri Mh. Pinda swala la mgomo sio sawa na la uokoaji au kujenga madaraja ambalo linahitaji...
Kila fani inaumuhimu wake na changamoto zake. Fani ya udaktari ni ya kipekee na inahitaji umakini mkubwa maana inajihusisha na maisha ya mtu mmoja mmoja na sio kwa ujumla wetu. Hivyo basi huwezi kulinganisha Uhandisi na Utabibu hata kidogo makosa ya Uhandisi yanarekebishika lakini ya Utabibu...
Vazi la taifa sio kitu cha kufungia watu ndani ili wabuni watanzania tutokeje! Kama tunataka kutambulika kama watanzania tunapokuwa katika viwanja vya kimataifa kuna vitu vingi tu vinaweza kututambulisha na sio nguo ulizovaa mf: Utawala bora na wa kidemokrasia, kuzingatia haki za binadamu...
Mimi nafikiri imepitwa na wakati. Hizi sheria tulizokopa kutoka kwa Wakoloni wetu kwa sasa zimekosa mashiko. Mimi naamini kifungo cha maisha without possibility of parole na kazi ngumu ni adhabu kubwa na inatosha kumfanya mtu kujutia kosa lake na hata kwa wale waliopoteza ndugu yao watarizika...
Sheria za kazi (Utumishi wa umma) zinasemaje kuhusu mtumishi anayetaka kwenda kujiendeleza kimasomo wakati hajamaliza hata mwaka mmoja kazini na ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.