Search results

  1. KIJIKI

    Taarifa toka NEC ya CCM - Yaridhia mabadiliko ya Katiba ya CCM

    Wakitenganisha mawaziri wactokane na vyama matumizi yatakuwa makubwa na tutaanza tena kulalamika na huo tena utakua ni mwanzao mwingine wa matumizi mabaya ya pesa za umma,,na kwa mfano wa ANC ikumbukwe South A,,,ni nchi yenye nguvu kubwa sana kiuchumi so hata bajet yake inaruhusu...sisi hatuwezi...
  2. KIJIKI

    Hoja binafsi za Arfi na Mnyika zazimwa kuwalinda Pinda na Lowassa

    Hakuna jipya hapa sie hawa jamaa wanakamua wanavyotaka..coz hawana pingamizi raia wenyewe bongo lala hawahoji chochote
  3. KIJIKI

    Blandina Nyoni ana siri nzito za vigogo Mafisadi, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma Tanzania

    Hakika hii nchi ingekuwa na wananchi km wa Mara,,Arusha na Mbeya hakika hii serikali ingefanya kazi vizuri sana:lol:
  4. KIJIKI

    Blandina Nyoni ana siri nzito za vigogo Mafisadi, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma Tanzania

    Unajua huyu mama sio kwamba anajua kitu kuhusu hawa viongoz anaowasema..bali kwavile anajua TZ hakuna msafi basi ameona akilopoka huo upuuzi wake kwa vile viongozi wetu wengi sio waadilifu basi wakiona ujumbe wake watapunguza makali ya kumfatilia...lakini bado hatakuwa msafi hata km kamati...
  5. KIJIKI

    TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

    Lakini pia ujue hata jengo ambalo linatumiak kwa huduma za hosptal ya bugando ni la serikali amabalo lilijengwa na serikali ya Israel chini ya Mzee wa kweli JULIUS K.NYERERE....Ambapo hata hili jengo halikuisha baada ya mwl kuwaona wa israel hawakuwa na nia njema na mradi huo wa hopspital...
  6. KIJIKI

    TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

    Bugando sio ya Kanisa tu....unapaswa kutambua kuna kitu kinaitwa ''PUBLIC PRIVATE PARTNERSHIP'' hapa serikali hufanya kazi kwa kushirikiana na taasisi binafsi km bugando ampapo serikal huwapatia huduma maalum km hao wataalam ambao leo wamegoma na kuweka vitendea kazi chini au mezani au kwenye...
  7. KIJIKI

    TRA vp?!!!

    tulizia tu baba,,,utapata kwingine sio lazima upate TRA:lol:
  8. KIJIKI

    ZoomTanzania.com ina boa na iache ukiritimba!

    Nikweli zoom mnakuwa na hilo tatizo sana hata mie hapa nimejaribu ku apply lakini ikifika hataua ya kuingiza zile alama nikimaliza tu ili nitume najibiwa kwamba nimekosea,,,ktk hili inawabidi mkubali na mfanye marekebisho coz leo unawezaona kwamba upo sahihi lakin kumbe kuna kitu kimebadilika...
  9. KIJIKI

    Mgomo wa Madaktari hautaisha kwa vitisho na Dola; ni kwa Makubaliano tu!

    Nisaidien jaman vp mgomo umeyeyuka au bado upo?? au ndo kiranja mkuu kachimba mkwala wamelegea hawa jmaa zetu doctz..
  10. KIJIKI

    Anahitajika mtu mwenye cv ya hivi

    jaman msameheni huyu jamaa nadhani pindi mtu akipatwa na shida basi huwa anaweza hata kupoteza network hata kwa sali la 1+1=?? so wana jf nawaomba mmsaideni...
  11. KIJIKI

    Anahitajika mtu mwenye cv ya hivi

    kwani wewe hapo uliposoma haujakutana na communication skills or...ndo kusema umetaabika kitaa hadi umesahau yote???? anyways ni hivi unashauriwa kabla haujamuweka referee wako unapaswa kumpa taaarifa juu ya maombi yako...coz kuna watu wengine akipigiwa cm au kutumiwa barua hawezi kuwa na...
  12. KIJIKI

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    sio kwamba wanashindwa au wanaficha kusema ukweli au kuwasikiliza doctaz kwa kutaka jf members...bali wanatunza kazi zao na watoto wao wapate hata kuimaliza elimu ya msingi.......
  13. KIJIKI

    Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

    Na hata wafanyakazi wanaopangwa katika hizi shule wanaruhusiwa kwenda na begi tu ikiwa na nguo zao basi na hakuna mzigo zaidi ya huo....kila kila kitu ndani kawaka ndani .....so staff wote hupenda wapelekwe pale wale wa idara ya elimu hata afisa elimu wenyewe hutamani ktk hizo shule za mkono sio...
  14. KIJIKI

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Kwe,li jembe la ukweli Slaa komaa baba sie tupo na wewe hata km kuna njaa....komaa babaaaaaaaaaaaaaaa
  15. KIJIKI

    Mbunge akifa kabla ya kuapa sheria inasemaje

    jaman mahaka imeamua nini juu ya mh..hamad na wabaya wake CUF...???
  16. KIJIKI

    Mbunge akifa kabla ya kuapa sheria inasemaje

    jamani vp mahaka imeamua nini kuhusu hamad na cuf....???????????
  17. KIJIKI

    Wegero----kiagata

    Jamani hii hali ya wananchi kuwa wanaingia migogoro na vyombo vya ulinzi na hata sasa kufikia hatua ya polisi kuwauwa raia sio halia njema hata kidogo inabidi utaratibu wa kuongea na wananchi utazamwe upya.. Nasema hili kwa kufanya reference ya mauwaji yaliyotokea jana katika kijiji cha...
Back
Top Bottom