Search results

  1. Muungwana Action

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Download ACmarket google utaipata
  2. Muungwana Action

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Unaendeleaje kubonyeza mkuu sijakupata hapo
  3. Muungwana Action

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Check Darmax checkers hii unaweza kucheza hata na mtu via Bluetooth pia ina aina tofauti na levels, enjoy it Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Muungwana Action

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Samahan wakuu mwenye apk ya vault premium naomba anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Muungwana Action

    Dawa zinazotumika kwenye screen printing

    Wakuu msaada, Nimejifunza mengi kuhusu screen printing ila sijafanikiwa kujua majina ya dawa na chemical nahitaji kununua, nawasilisha.
  6. Muungwana Action

    NECTA walipeni walimu Mkuranga pesa zao

    Hapo dawa ni kuungana wote mnaodai na kwenda halmashauri, vinginevyo itakuwa kama necta IV 2015 hadi leo ni story tu
  7. Muungwana Action

    Walimu acheni kulalamika wakati hamjalazimishwa kusimamia/kusahihisha hio mitihani

    Tatizo lipo kwa maafisa wa elimu na kamati za mitihani katika halmashauri kutowaambia ukweli walimu stahiki watakazopata katika kazi hiyo ambapo taarifa za kiasi cha pesa hutolewa baada ya wasimamizi kula kiapo cha kutekeleza kazi hiyo, lakini kikubwa ninachokiona ni serikari kuelemewa na mzigo...
  8. Muungwana Action

    Uhamisho TAMISEMI June 2016 kwa Walimu vipi?

    Hawako fair in such uhamisho unaenda na malengo no bora hata wangetoa ahadi au taarifa ili kuwaweka waombaji wazi na waelewe cha kufanya, manake barua za uhamisho zikiwa kwenye faili hata nafasi za kusimamia, inset n.k zinaadimika.
  9. Muungwana Action

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko mwanza kwimba nahitaji kubadilishana na mwalimu aliyeko; njombe, iringa, moro, mbeya au ruvuma, idara ni sekondari, lengo ni kuwa jirani na nyumbani. Kwa aliye tayari ani PM au kama una information tujuzane pm.
  10. Muungwana Action

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mwanza nije mbeya, moro, iringa sekondari
  11. Muungwana Action

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mlioko mbeya, iringa, moro na mnataka kuja Mwanza idara sekondary tuwasiliane PM
  12. Muungwana Action

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njooni- mwanza kwimba nirudi iringa, mbeya au moro idara ya secondari 0766082424.
  13. Muungwana Action

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njooni mwanza-kwimba nije mbeya, moro au iringa. secondary
  14. Muungwana Action

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mwanza nije moro au mbeya sekondari kama upo tayar ni pm
  15. Muungwana Action

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    idara gani mi nipo sec niko mwanza
  16. Muungwana Action

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwanza-kwimba kwa Moro au Mbeya sekondari 0653 256 041
  17. Muungwana Action

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko Mwanza kwa Mwl wa sekondary aliyeko Mbeya au Moro ani pm
Back
Top Bottom