Search results

  1. Upcoming

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Bukoba Airport haina Tower na hakuna waongoza ndege
  2. Upcoming

    Angela Simmons anavaa shanga za Kimasai kiunoni

    Anavaa kiunoni au tumboni🙄🙄
  3. Upcoming

    Namtafuta Morega Simon Mongate

    Yupo Ndanda Sekondari, ni Mwl mkuu..
  4. Upcoming

    Basi gani linasafiri kutoka Dar - Chato au Geita?

    Panda takbiri au matunduru za katoro zinakushusha bwanga ni njiani ukiwa unaelekea katoro
  5. Upcoming

    Simba wanaua vipaji vya vijana. Adam Salamba yupo wapi? kwanini wasimtoe kwa mkopo ili awe anacheza?

    Salamba aliuzwa Namungo kabla hajacheza mechi hata moja akapata Al-Jahra analipwa 9m kwa mwezi hayupo simba siku nyingi sana FC
  6. Upcoming

    Rais Magufuli atua Dar leo

    Siku hizi ndege ya ATCL ndio imekuwa ndege ya rais. Ile ya rais iliyo nunuliwa wakati wa Mkapa iko wapi? Ndo hedge ya raisi hiyo Gulfstream G550 iliyonunuliwa wakati wa hii sio ndege ya ATCL, hii ndio ndege pekte iliyobaki inayomilikiwa na TGFA isiyo beba abiria wa kawaida zingine zote zinakuwa...
  7. Upcoming

    Ufafanuzi receipt za efd

    Mafuta yalikuwa exempted kwa sheria ya kodi ya ongezeka la thamani ya mwaka 1997 (VAT Act, 1997) ambayo haitumiki tena kwa sasa tunatumia sheria ya kodi ya ongezeko la thamani ya mwaka 2014 (VAT Act 2014 ) ambayo tumeanza kuitumia mwaka jana Hii sheria mpya (VAT Act 2014) haijatoa msamaha...
  8. Upcoming

    Rais alishawahi kusema ukitajwa kwa rushwa unaondoka hapo hapo hakuna kuunda tume

    Mheshimiwa waziri hana directly relationship na hiyo tender 1. Mkataba ni kati ya Lugumi na jeshi la polisi 2. Infosys na Mheshiwa ni two different person (refer to separate legal entity concept). Mheshiwa ni mmoja kati ya shareholders wa Infosys ambayo ina share holders zaidi ya wa nne 3...
  9. Upcoming

    Je, umehawahi kupata kazi kupitia tovuti hizi, Brighter Monday na Grab your job?

    Mimi pia nimepata kazi kupita zoom Tanzania ntaanza trh 3 august
  10. Upcoming

    Dawati la msaada kwa Samsung Galaxy S & Note

    Naomba msaada wa hotspot kwenye note 4 nikiturn on tethering Inaonekana na naweza kuconnect (mfano naweza connect computer from this note 4 lakini siwezi kutumia Internet kutokea kwenye note 4 japokuwa inaonekana na unaweza kuconnect)
  11. Upcoming

    Galaxy NOTE 4 inauzwa

    Mkuu nimekupm namba yangu tafadhari naomba tuwasiliane..
  12. Upcoming

    Financial institution inayotoa huduma ya Sinking Fund.

    ContractSave Account ContractSave is an affordable, disciplined savings plan that can be tailored to suit specific needs. A compulsory, monthly debit order is required to fund the account. This ensures that saving is done regularly over a pre-selected period of time – without giving in to the...
  13. Upcoming

    Financial institution inayotoa huduma ya Sinking Fund.

    Fungua contra save account stanbic bank ipo kwa ajili ya huduma hiyo
  14. Upcoming

    Master scholarship in GIS and natural resource management

    Twente university ipo Netherland wapo vizuri sana katika GIS jaribu kuangalia site yao
  15. Upcoming

    Computerised accounting,,,tally,myob,quick book etc

    You tube zipo nyingi sana ni uzembe wako tu wa kutotaka kuzitafuta, weka bundle la kutosha download unayotaka mwnyw
  16. Upcoming

    Benki ipi na account ipi nzuri kwa sasa?

    Kama unajali sana cost NMB wapo vzr na watakufaa kuhusu visa na masttercard kwa mtu kawaida haina faida yoyote mi nimekuwa na visa card 4rm 2010 na master card lkn sijawahi zitumia, fungua account NMB huta regret kwa makato ya ajabu ajabu
  17. Upcoming

    Msaada kuhusu geoinformatics

    Ni course nzuri lakini sio saaana kama wanavyosema inahusika na mambo ya kurekodi au kutunza data za Geomatics kwenye system. For my advice ukichaguliwa course hiyo uombe kuhamia Information System Management ipo school moja na hiyo Geo.... lkn ile better than Geo.... kwakuwa unaweza fanya kazi...
  18. Upcoming

    Selikali mmekopa Stanbic sasa wanatukomesha

    Stanbic Bank named ‘most customer -focused bank’ in Tanzania Written by TIMES CORRESPONDENT Friday, 28 June 2013 10:43 STANBIC Bank Tanzania has been named the most customer-focused bank in Tanzania, according to latest survey released by audit and advisory firm, KPMG. According to the...
Back
Top Bottom