Search results

  1. H

    Msaada jamani!!!

    Habari zenu jamani,naomba mnifahamishe tofauti za service ya CRDB ya sim banking na internet banking coz nimeenda kuomba form ya Internet banking jamaa akanipa ya Sim banking na nikimwambia anasema ndio hiyohiyo.
  2. H

    Msaada na Internet Banking....

    Habari zenu wakuu,nilikuwa naomba mnisaidie kuhusu hii service ya CRDB haswa pale kwenye log-in page yao,naomba niwaulize hivi username na password unapata ukishasubmit form yao au vipi?
  3. H

    Msaada na eBay.

    Habari zenu wakuu,eti ukijiregister ebay pale kwenye "Postal code" unajaza nini,nataka nijue unajaza P.O.Box au kitu gani kingine....Thanks in advance.
  4. H

    Jinsi ya kutengeneza sim card reader.

    Habari zenu,naomba mnisaidie kwa kuniambia ni jinsi gani naweza nikafix sehemu ya kusomea sim card ya Samsung Galaxy s3 kwani kuna pini zimechomoka au mnaweza kuniambia ni wapi wanatengeneza.
  5. H

    Network ipi ina speed nzuri?

    Habari zenu wakuu,naombeni mniambie ni network gani hapa bongo ambayo ina internet speed ya kasi?
  6. H

    FoneShack

    Jamani wakuu naombeni msaada kwani natafuta namba ya simu ya hawa dealers(Foneshack) ila nashindwa kuipata hivyo naomba kwa yeyote yule anayeijua ashare bac nami......Thanx in advance.(Foneshack wanadeal na simu)
  7. H

    Selling old xbox.

    Oya are u the nick fatz of Mbezi?
  8. H

    World War 3

    Dats y i said srry for the topic name,nimekosea cnt u read?
  9. H

    World War 3

    Jamani kwa wale wanaomfahamu TB JOSHUA huyu mtu ametabiri vita kuu ya 3 ya dunia itakayohisisha iran na middle east vs America na Britain sasa Africa ipo katikati ya bara hizi na inaweza kuathiriwz vyovyote vile...naomba maoni yenu.
  10. H

    World War 3

    (Sorry for the topic name,nimekosea)Nina mdogo wangu ambaye ana aibu kupita kiasi utafikiri amerogwa yaani dogo anafikia point ya kuogopa hadi opposite sex na nimejaribu counselling bado haimsaidii yaani hapa nilipo sijui hata nimsaidieje.
  11. H

    I Want Everyone To Write Down Their Height And Weight

    Y should i write my height n weight?
  12. H

    Tofauti ya antivirus kwa ajili ya internet na kwa ajili ya computer

    Avast Professional ndio nzuri kwa internet n kwa computer.....
  13. H

    Laptop yangu haitoi sauti Toshiba

    Jaribu kudownload sound driver yake.....
  14. H

    Whats your talent...???

    Sasa huyu young master naye kawa mtume au?...eti anapredict the future...hata kama uwongo lakini siyo kihivyo bwana...mtu hawezi kuwa kuwa na talent zote hizo labda awe Genius.....
  15. H

    Whats your talent...???

    Google it n u'll fynd out.....
  16. H

    Whats your talent...???

    Mostly manga/japanese cartoons but am still learning on how to draw more realistic stuff......
  17. H

    Uwoya azimia mara nne

    Huyu Uwoya nae matatizo tu na mi sishangai kwani ye si ndiye alizaa mtoto blacki akamwita Krish....eti jina la movie.
  18. H

    Whats your talent...???

    My talent z art(drawing).......
  19. H

    Movie za Blu-ray 3D

    Naomba unipe procedures zake mkuu.....
  20. H

    Movie za Blu-ray 3D

    Sasa mkuu ebay wanaship bongo?
Back
Top Bottom