Search results

  1. C

    Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

    Mkuu nafikiri masharti ya kufungua shule ni lazima uwe na EKA 10 na yenye hati yaani title deed
  2. C

    Nataka kufungua Dry Cleaner

    Samsung ni bora...moja ya changamoto katika dry cleaner nyingi ni mota za mashine zinaharibka..hassa mzigo unapokuwa mkubwa...kama mablanket n.k uchukua muda mrefu kukaushwa..nakushauri ununue samsung angalau zinastahimili
  3. C

    Serikali ondoeni matochi barabarani magari yaende, abiria tunachoka na kukereka

    Naomba nikuweke sawa kwanza dmkali..sio safai yote unatakiwa uende kwa spidi ya 40/hr au 60/hr..kuna sehemu maalum ndo unatakiwa uende ivo..kumbuka TZ sasaivi sio pori yote tofauti sana na zamani...kila baada ya km kadhaa ni lazima ukutane na kijiji au shughuli za binadamu zinaendelea.na ndo...
  4. C

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Kwa wale wakulima wazoefu wampunga naombeni ushauri juu ya kilimo ichi husuasani gharama zake kuanzia kukodi shamba mpaka mavuno na storage kwa eka moja, vilevile maeneo muhafaka kwa kilimo hiki.
  5. C

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Ebwana nawakumbuka sana hawa jamaa " till i die hair cuttin saloon" sio komakoma kweli
  6. C

    Manispaa ya Temeke hawafagii barabra!

    Nina uzoefu wa wilaya zote 3 jijini Dar es salaam, cha kushanganza wilaya ya Temeke imejaliwa kutengenezewa lami mpaka mitaani hususani Tandika lakini barabara zao ni vumbi tupo ukilinganisha na wilaya nyingine, yaani hazifagiliwi (maintenance) Ni kwamba manispaa imelala, viongozi wazembe au...
  7. C

    Samsung portable laptop for sale

    poa poa mkubwa si unajua soko huria akitokea mtu ndo ivyo, yaani nauuza ila roho inauma basii tu matatizo
  8. C

    Samsung portable laptop for sale

    Angalia picha ya kwanza kwa makini utaiona kwa mbali kwenye mgongo wa laptop
  9. C

    Kazi Za BoT

    1 ktk 100, ila nisiwavunje moyo, bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi! bora utume ujiridhishe nafsi wala usijiliaumu kuwa...dah sikutuma pengine ningeitwa!
  10. C

    Kazi Za BoT

    Mkuu fikiria ishu nyingine tu ya kufanya , pale sisi tulikutana na mfanya kazi wa pale akatuambia tusipoteze muda wetu hizo nafasi zina wenyewe..nilichoka lakini ndo tutafanyaje nchi ni ya wanasiasi na familia zao tu!!
  11. C

    Samsung portable laptop for sale

    Nauza samsung portable laptop , unaweza charge kwa umeme au jua(ina solar panel) , RAM 1 GB, internal hard disk 280GB, pentium M, 32 bit, imenunuliwa miezi michache quality centre , sasahivi nauza karibu nusu ya bei iliyonunuliwa kutokana na matatizo ya kifedha, ni rahisi sana kuibeba...
  12. C

    Samsung portable laptop for sale

    Nauza samsung potable laptop , unaweza charge kwa umeme au jua(ina solar panel) , RAM 1 GB, internal hard disk 280GB, pentium M, 32 bit, imenunuliwa miezi michache quality centre , sasahivi nauza karibu nusu ya bei iliyonunuliwa kutokana na matatizo ya kifedha, ni rahisi sana kuibeba kwenda...
  13. C

    Fursa za Kazi kibao kwa Watanzania Kampala

    Sahii kabisa anachoshesema jamaa, KUBWA zaidi ni kwamba waganda hawajui kupika, pili waganda Hawajibani kabisa katika kula..mganda hata awe masikini vipi lazima atakula vizuri tu bora atembee uchi lakini sio kaitka menu atakula Katogo, samaki mkubwaa, chipsi, yaaani vyoote ivyo mlo...
  14. C

    If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Hili swali nilikuwa najiuliza kila siku, juzi tu nimemuuliza jamaa mmoja alikuwa na pesa sanaa siku za nyuma sasa ivi yuko ovyo vibaya, sasa alinijibu ifatavyo...Mungu alituumba akatupa utashi, roho ya kujua mema na baya..yaani Mungu katupa uhuru wa kuchagua nifanye lipi niache lipi, naweza...
  15. C

    Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Pesa kitu gani bana kaka, nimesoma hii kwa makini nimejua kinachokuuma ni kumgharamikia sana, toka kumosmesha mpka ahapo halipo, look...hata kama umetumia billion 1, aina thamani kabisa zaidi ya maamuzuzi sahihii wakati HUU uliopo sasa na unakokwenda, kumbuka maisha yetu WOTE ni full of...
  16. C

    Hotuba ya jk:9/12/2013.

    Nilishangaa mwanzo mwisho hii ni uhuru day au Mandela day, hatukatai ndio ukubwa na umuhimu wa Mandela duniani lakini sio kipaumbele kwa siku ya leo, ingetolewa dakika chache kama 1 au 2 za kumbuka Mandela tena za kimya tuu kama premier league walivyofanya mechi za week end zote.
  17. C

    Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Sasa wewe uelewi tuu!! hilo ndo moja la tatizo kuchanganya mambo, kama ivi kutojitambua, mgonjwa tena unataka awe smart!!
  18. C

    Tunamuenzi na kumlilia Mandela, kwa mob justice!! wanafiki!

    Binafsi nashangwaza sana na hii hali ya watu kuwa wanafiki sana, kama Madiba alichapwa viboko, aliteswa sana kwa muda wa miaka 27 locked up almost third quarters of his life!! na bado akawasamehe waliomdhihaki , iweje wewe leo mtu kakupora hako kapochi kako sababu ya matatizo yake...
  19. C

    Kupotelewa na nyaraka mbalimbali!..

    Pole sana, najua umuhimu wa ivyo vitu kwako, kwanza next time jifunze uwe una scan copy ya vyeti vyako vyoote muhimu , plili hilo bag ulikuwa umefunga nyuma kwenye pikipik!? umebeba likadondoka usijue au ilkuwajekuwaje...?? eleza vizuri ili tupate mwanga wa kukushauri na kujaribu kuimagine jinsi...
  20. C

    The Mission of Whitemen In Tanzania!!

    Hata wao wanajiufunza kiswahili makwao! rudi katika topic
Back
Top Bottom