Search results

  1. G

    MJADALA HURU:- Said Issa Mohamed

    Zanzibar wapo wawili: mariam msabaha na raya ibrahim
  2. G

    Siasa za Tanzania: Anapendwa mtu si chama?

    Tatizo la zito ni kujionesha kwamba yeye ni maarufu kuliko chama. Mjue ikitokea siku zito akawa mwenyekiti wa chama na mgombea 'urahisi' basi chadema ni kwisney kuanzia udiwani, ubunge hadi huo urahisi.
  3. G

    Barua ya Kumfukuza Juliana Shonza na aibu kwa BAVICHA

    Acha ukabila brother! Nyie ndio mnaoharibu mshkamano ndani ya jamii yetu. Urombo na umachame umetoka wapi hapo? Usifikiri na kutenda kwa akili za kuazima utaumbuka.
  4. G

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Zito pole sana kaka yangu kwa yote yaliyokukuta. Hii ndiyo dunia na huo ndo ujana ambao wahenga walisema ni maji ya moto. Niseme ukweli kuwa wewe ulikuwa role model wangu na ulinifanya nipende siasa na haswa zile za upinzani. Mimi nimekatishwa tamaa kabisa na tabia yako yakujitanguza wewe mbele...
  5. G

    Nape si mzima!!

    Hapo umesema vizuri kuhusu zitto kwa kuwa hadi sasa ni mamluki wa ccm na jeykey wake. Kutokana na matendo yake zitto lisingemtoka kwa kuwa yeye kimatendo yupo ccm ila kwa kadi yupo chadema. Dr slaa ''kwa kadi yupo ccm'' (if could be possible) lakini matendo na itikadi yupo chadema. Kati ya hao...
  6. G

    Waasi UVCCM wamtaka Slaa kuanzisha vuguvugu huru la mabadiliko nchini kuelekea 2015; wamkanya Kinana

    nakuunga mkono mkuu! Haina tofauti na uharo wa bata! Huyu gamba junior akajipange upya!
  7. G

    Dr Kitila Mkumbo, "UNDUMILAKUWILI" si hoja ya kipuuzi...!

    Hivi kwanini CCM wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa dr anamiliki kadi yao na ipo hai? Hivi ni jukumu la CCM kuwaambia CHADEMA kuwa huyu ni mamluki wao au wao wenyewe chadema watambaini kwa matendo na mienendo yake? Kama CCM wanajua kuwa dr slaa ni kada wao na anawafanyia kazi iliyotukuka...
  8. G

    Rufaa ya Lema kuanza kusikilizwa Disemba 4; Jaji Mkuu aamua kujitoa

    who is lowassa by the way? Poteza magamba yote, from jk, kinana, mangula, lowassa and the like...
  9. G

    Tathmini ya Chaguzi za CCM (Kizota, Dodoma 2012)

    Jk bado mdogo kivipi ndugu ilhali alikua na miaka 43 by then na katiba inahitaji 40yrs pekee? Nyerere alimaanisha ana mawazo ya kitoto bado hivyo hafai kwa urais na for bad luck hadi leo bado hajakua..
  10. G

    Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

    Dr slaa anakunyima usingizi kabisa! Du huyu dr wa ukweli ni jembe, mwisho wa siku mtaanza kujichekesha chekesha kwake. Time will tell.
  11. G

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    broda inabidi ukate rufaa fasta, isije ikawa wamechakachua mpunga wako..
  12. G

    Mwandishi wa Habari apigwa risasi Dar es Salaam

    ni kweli ccm hawawezi kufanya hivyo coz wao huwa wanang'oa meno na kucha tuu na tena bila ganzi kwa kutumia plaiz na sio risasi.
  13. G

    J. K Nyerere: 'Malecela na Lowassa hawafai urais Tanzania'

    EL at work! Anyway unadhani kwanini tunamwita J.k. Nyerere baba wa taifa? Unadhani kwanini nyerere aliwakataa Samwel, Edward na Jakaya 1995 na kumpitisha benjamini na cc pamoja na nec zote zikaafiki bila kupinga. Unadhani kwanini baada ya jkn kumkataa Edward ilifikia edward akatuma ujumbe kwa...
  14. G

    J. K Nyerere: 'Malecela na Lowassa hawafai urais Tanzania'

    Mimi siamini kwamba EL hajui anachofanya ndani ya ccm kwa sasa! Anajua fika kuna vikao vya cc, nec na mkutano mkuu. Anajua kuwa ili apitishwe na chama lazima apite kote huko. Siamini kama anao uwezo wa kupanga safu katika nec na mkutano mkuu ambako kote kuna wajumbe wengi zaidi ashindwe kupanga...
  15. G

    Kata hizi kabla zikuwa chama gani?

    There you are brother! Na aliyekuwa diwani wa hiyo kata aliuawa kwa kuchomwa kisu, nyingine zote zilikuwa na magamba!
  16. G

    Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    kama vipi waige na ushoga basi maana hata marekani na uingereza imehalalishwa ndio tutajua kuwa kweli yote wayafanyayo wazungu ni mazuri na yanafaa kuigwa. Kama hilo la ushoga halifai basi hata hili la fao la kujitoa waliloiga baada ya kufilisika kwa hayo mashirika halifai ila ni wizi wa chukua...
  17. G

    Mbowe asema ujengwe mfumo mpya kusaidia CCM kukabidhi madaraka bila vurugu

    Excelent idea from Great thinker! Hon. Mbowe is my role model, he knows what he's talking and always he hit the bull. Bravo hon. Mbowe!
  18. G

    Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    nakuunga mkono brother, kama anataka kuiga kwa wenzetu basi na aanze la kulipa mishahara raia wasio na ajira kama wafanyavyo wenzetu wa magaribi. Sioni kinachotuzuia kufanya hivyo kwa kuwa tuna rasilimali za kutosheleza haja ya kufanya hivyo.
  19. G

    Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    brother kwa sasa siamini kama tuna serikali! Badala yake tuna genge la wezi na manyanganyi ya rasilimali za taifa pamoja na nguvu kazi ya raia wasio na kitu.. Uoga na upole wetu umekuwa mtaji wa hawa majizi ccm na dhaifu wao. Wakae wakijua siku wananchi wakiamka moto utawaka na watakosa pa...
Back
Top Bottom