Search results

  1. kibangaa

    Wazo Tukufu: Kwa Wanaotaka Kulipa Kodi ya SIM Card... wajiandikishe Hazina

    wabongo wanapenda sana kulialia tu kufanya kazi hawataki zaidi ya kulalamika tu kila siku kulalamika hakutatupeleka kokote kila mwaka serikali inaongeza kodi kwenye pombe na pombe hiyo hiyo ndio inayoongoza kwenye pato la taifa lakini hilo ongezeko watu hawalioni kabisa tena wanasahau kwenye...
  2. kibangaa

    Diodorous Kamala kupata PhD kesho - Alikuwa Dokta feki?

    Hivi sasa vyuo vingine ni janga la kitaifa wana Masters na PHDs za kizushi hivi tunategemea taifa kuendelea siku zijazo?????? inasikitisha kuwa na graduates kama wale walimu wa mpango wa dharura aka vodafasta ndio wahitimu wetu wanaozalishwa kila siku ktk vyuo vyetu ni mungu tu atakayelinusuru...
  3. kibangaa

    Diodorous Kamala kupata PhD kesho - Alikuwa Dokta feki?

    hahahahaha unahoji PHDs zao???? wana masters za voda fasta sembuse PHDs ndio elimu yetu hiyo hatuna jinsi tusilaumiane kwa matokeo tunayoendelea kuyaona kutokana na wataalamu/viongozi wetu hiyo inaitwa bora elimu tu UTAALAMU NI MBWEMBWE TU
  4. kibangaa

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Tunaishi jimbo la ubungo maji yanapita mbezi yanaenda mjini ni aibu mpaka sasa hakuna mipango inayoeleweka hasa wakazi wa Msakuzi na Makabe kuhusiana na swala la maji AIBU KWA KWELI NA INAUMIZA SANA NA UKATA HUU KUENDELEA KUNUNUA MAJI LITA 1000 KWA SHILINGI 12,000 BOZA MOJA???????? hakuna...
  5. kibangaa

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    wakazi wa jimbo la ubungo hatutaki siasa za longolongo asitumie kofia ya ubunge wa ubungo kuimarisha chama zaidi kuliko kutatua kero za wananchi na kutafutia ufumbuzi wa matatizo yetu akumbuke ya kuwa kero zetu ndio alizozitumia kama mgongo wa kuingia bungeni sasa ni 2012 bado tunaona sound...
  6. kibangaa

    Wale wa galanos agriculture sec school miaka ya 1999-2002...tujikumbushe!.

    hahahaha da vijana mmenikumbusha mbali sana mnaikumbuka TANESCO PROJECT da mi ilikuwa inaniboa sana ila nao walikuwa wanatutega wakitupeleka jumamos kufyeka wanatupa juisi zile za tanga na skons hahaha. mzee mnalikumbuka kengere la msosi lile??
  7. kibangaa

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    safi sana kijana kazi yako matunda yameanza kuonekana tuko pamoja
  8. kibangaa

    JK ni rais anayetumia madaraka yake kulipiza visasi?

    kajipange upya maana huna uhakika na unachokisema
Back
Top Bottom