Search results

  1. ProBook

    Hii tabia ya mashabiki wa WCB inanikera sana

    Bro Mbona Hasira This is more personal zaidi kwako kuliko ata what u mean kusaidia music Anyway, We like ‘watumbuizaji’ sio ‘waimbaji’ We kaimbe huko kwenu sie tutafurahi Mjini na VIBE
  2. ProBook

    BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

    Mbeyaa ku a garage ina vogue 4, discovery 2
  3. ProBook

    Nimechoka, naenda kununua gari

    IST ya mil 7,kaka hio haitakuwana gharama ndogo kuihudumia
  4. ProBook

    Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kama huli mali safi ni wewe kaka usituwekekwa shida zako Halafu hivi kajala/paula nao ni mali safi,? Muulizeni Mwana FA,inspector harouni, prof Jay zile pisi za getikali na masaki wameziimba muda wote ndo utajua malisafi ni ipi na taka taka ni zipi
  5. ProBook

    Passo inakula lita 1 kwa km 9

    Mimi nimemiliki Paso Kadhaa na magari kadhaa ya Engine ndogo Haya ndo Mawazo Yangu 1. Passo speed ndogno + AC inakula mafuta kama kawa tena kwa kuwa ni engine ndogo inakula zaidi na inakosa nguvu 2. Kufa kwa engine ndogo ni kuisha nguvu, engine < 1000 cc ukiona hata ufanye nini nguvu...
  6. ProBook

    Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

    Mzee Qn Hivi ukisema gari ina umeme wajua wamaanisha nini..?
  7. ProBook

    Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

    Hujui endesha manual.. acha Lia lia
  8. ProBook

    Achana na tetesi: Lil Ommy, go and get 'em, bro!

    Huyu Jamaa mbona kipindi chake cha Radio na Cha Tv they are all Lame.. yan vinaboa.. sijui mnapimaje utangazaji ila go and check yule Jamaa anaitwa Joni Jo .. contents zake ndo utajua kuna watangazaji Lil Ommy bhanaa nadhan anajiona mkubwa kuliko.. while ni mdogo kuliko esp ukimeet nae in...
  9. ProBook

    Naomba kujuzwa Bulb nzuri za gari

    Mataka taka aya My Take ya Taa Taa zote za booster zinazouzwa mtaani sijui zima feni sijui angel Eye blah blah it is nothing compared na taa original zilizokuja na Gari.. Car designers hawajawah kosea.. Gari zina mwanga kama wa njano maana ndo rangi ambayo macho yetu yanaina well.. ukiweka...
  10. ProBook

    Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Kwanza rudisha origina control box yake..
  11. ProBook

    Matatizo ya Engine za Toyota IST na suluhisho lake

    Hivi hizo engine mbili za ist zinashare gearbox au ukiibadilisha kutoka 1300 to 1500 lazima ubadilishe na gearbox.?
  12. ProBook

    Natafuta Air compressor ya kununua

    Ipo lita 300 Brand New hata kwa box sijatoa Nliinunnua nifungue kijiwe cha matairi imeshindikana Dm nkuuzie
  13. ProBook

    Suzuki escudo inakula mafuta sana

    Yes bado nawasiliana nae sanah
Back
Top Bottom