Search results

  1. Sufa

    TANZIA: Mwimbaji mkongwe wa taarab, Bi. Shakila Saidi afariki dunia

    Mmoja wa magwiji wa muziki wa taarabu nchini, na sauti yake boy! Itakuwa nasi daima! "Nami takuenzi wangu mfariji..." RIP Bi. Shakila
  2. Sufa

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Inasikitisha, ila makosa yanafanyika tuangalie yanatatuliwa vipi? Nafikiri Mh. Kitwanga anaogelea kwenye mfereji wa maji taka yato kayo chooni kwake mwenyewe.
  3. Sufa

    Taasisi za Dini Zatajwa Kuhusika na Utoroshaji wa Makontena Bandarini

    Inatia kinyaa kwa viongozi wa dini kukwepa kulipa kodi, mtoto akifa kwa kukosa dawa kwenye zahanati damu imo mikononi mwao!
  4. Sufa

    Kikwete: "Kumtukana Nyerere ni kukosa adabu, Tuwaache walivyo, Dunia itawafundisha"

    Ndiyo demokrasia hiyo, hakika Mwalimu angekuwepo hilo lisinge msumbua sana.
  5. Sufa

    Nyerere fit to be a saint - Museveni

    Nyerere alikuwa na nia njema kwa Taifa letu na dunia na katika uongozi wake amefanya mazuri mengi lakini pia kuna makosa, kama ukiukwaji wa haki za binadamu na majeshi yetu huko Uganda. Walipora na hata kubaka kutokana na simulizi za wapiganaji hao. Saint no step too far, he won't if like this.
  6. Sufa

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Kitu gani hii! Sasa wanaipeleka nchi pabaya, wameishiwa na hoja?
  7. Sufa

    Safari ya Kikwete na Kifo cha Kanumba

    Kifo hiki kinasikitisha sana na kimelistua Taifa (nakiri sikuwanamfahamu marehemu)haswa kwa mchango wa marehemu kwenye ulimwengu wa filamu. Napenda kutoa salamu zangu za rambirambi kwa wafiwa. Lakini msiba huu unamwangaza mtawala wetu, hivi kweli kiongozi wa Taifa anapataje muda wa kutembelea...
  8. Sufa

    Safari ya Kikwete na Kifo cha Kanumba

    Stori hii iko kwenye gazeti la Mwananchi la leo 9/04/2012 Sufa
  9. Sufa

    Ni Nani Huyu Aliyeiweka Serikali na TRA Mfukoni?

    [/B]"PCCB seizes multibillion illicit sugar The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has impounded a consignment of contraband sugar worth Sh3.7 billion which an importer had sought to avoid paying tax for under the ‘transit goods’ cover ." From IPPmedia.com. Mwenye habari...
  10. Sufa

    "JK sacks Defence Minister" The head line that you won't see!

    Au "Rais Awastaafisha Kwa Manufaa ya Umma Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na Mkuu wa Majeshi."
  11. Sufa

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Damu mikonono mwao kwa vifo vilivyotokea. Yanamwisho.
  12. Sufa

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Ushahidi mwingine tena kwamba tunahitaji KATIBA MPYA inayoweka mipaka bayana ya hata watu kama Mwema, yeye ni nani kuzuia maandamano ya amani?
  13. Sufa

    Katiba Mpya na Mahubiri ya EL Shetani Msalabani?

    Akisisitiza umuhimu wa kumtanguliza Mungu kwa kila jambo, Lowassa alisema anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpitisha salama katika wakati mgumu. “Namshukuru Mungu hata katika kipindi kile ambacho nilikuwa naandamwa sana, niliyaweza magumu yote katika yeye anitiaye nguvu, tuendelee kumtegemea...
  14. Sufa

    Kuweni makini , Chenge is just a decoy kuna mtu wao mwingine...

    Inatisha kwani kuna kila mbinu ya kumtoa Sitta na hii ni siku mbaya ya demokrasia Tanzania, Mr Visenti anadai Sitta alikuwa na maoni yake na anachafua watu? Kinyaa gani hiki? Kwa hiyo hakuna EPA, Radar, Richmond na mikataba batili ya madini. Hayo ni maoni ya mtu aliyekuwa akiipa serikali the...
  15. Sufa

    Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

    Wadau tuache kumjenga huyu mtoto wa mtawala, kwani hakuna habari mbaya kila habari ni nzuri tunavyozidi kumtajataja ndiyo tunavyomuinua kisiasa bila kujua hata kama tunamtaja kwa mabaya. Ikumbukwe Jamii Forum inaushawishi mkubwa nchini na mara nyingi magazeti ya kitaifa wanainukuu. Binafsi...
  16. Sufa

    Elections 2010 Maalim Seif mfano wa kuigwa kwa ustaarabu wa kukubali matokeo

    Muheshimiwa Seif Sharif Hamad historia itamkumbuka kama mzanzibar aliyechangia kwa kiasi kikubwa amani visiwa, hii tofauti iliyopo kati ya CCM na CUF ikumbukwe ni ya kihistoria na kwa njia hii tu ufa unaweza kuzibwa SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA. Itakuwa bora Dr Shein akimpa uwaziri kiongozi na...
  17. Sufa

    Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

    Thank God, watanzania wa arombo wamemsimamisha kwa manufaa ya umma, ilikuwa inatia kinyaa wengine bado...Slaa hata kama hatashinda amelifanyia Taifa hili kazi nzuri sio tu kuwaanika walaji wakubwa wa mali za umma bali kuamsha ari ya siasa tangu rekodi ilipowekwa mwaka 1995.
  18. Sufa

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Some of the posts are so disturbing, are we (Tanzanian) real that shallow?
Back
Top Bottom