Search results

  1. A

    Laptop zinauzwa

    Aina ibm ram 512 hard disk 30gb processor 30-40gb pentium m cd-writter colour black bei reja reja 270,000 jumla 240,000 contact 0754019123 0652458992 wahi yako sasa
  2. A

    Iphone4 inauzwa

    ni mpya na ipo katika hali nzuri kabisa,bei laki tano na nusu contact 0712013792 0754019123 specs Model A1332 (GSM model) A1349 (CDMA model) (2012-05-07) Power li-ion battery 3.7 V at 1420 mAh CPU ARM Cortex-A8 GPU PowerVR SGX 535...
  3. A

    Nyumba inauzwa mbezi mwisho

    Kwa yeyote anayehitaji nyumba ipon mbezi mwisho (mbezi ya kimara) ina hati. nyumba ni kubwa ina vyumba vitatu vya kulala, sebule ya kutosha, jiko, choo bafu ndani. ina kiwanja kikubwa nje ambacho unaweza kujenga nyumba kubwa nyingine kama utahitaji, iko barabarani umbali wa dakika 10 kwa...
  4. A

    NMB Mtwara vp?

    jamani kwa wale wote walioapply bank teller na bank officer nmb southern region vp watu wameshaitwa?
  5. A

    nataka nijifunze kifaransa

    kwa yeyote anayefahamu sehemu nzuri inayofundisha kifaransa anipe taaarifa!
  6. A

    Hatimaye nimefanikiwa

    broo iyo title inazingua! ila karibu
  7. A

    Migomo ya haki isiyokwisha somo lisilokuwa na faida kwa serikali

    Migomo ya haki isiyokwisha somo lisilokuwa na faida kwa serikaliHabari waungwana wenzangu mnaoipenda nchi yenu iliyo na utajiri wa madini,mito, maziwa,bahari, misitu, pamoja na milima,bunga za wanyama na sehemu nyingi zenye utajili usio kipimo ila kwa bahati mbaya sisi ndio maskini wa...
  8. A

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    tumekulia katika mfumo wa kutohoji chochote kinachofanywa na wazazi, viongozi wetu au mtu yoyote aliyetuzidi umri hili ndilo tatizo tulionalo vijana wa tanzania, hatuna uwezo wa kuthubutu kuhoji chochote hili ndilo tatizo linalozaa uoga,uzembe,uvivu na kutokuwa wazalendo! amka kijana.
  9. A

    Rais Kikwete Awashangaa Waliompokea kwa Vilio. Baadhi yao Wakamatwa

    viongozi katika ngazi za chini ndio wanaomwangusha raisi kikwete katika kutekeleza majukumu yake kitaifa,wapo kinafki wanataka waonekane wachapa kazi wakati ni wavivu wa kutupwa
Back
Top Bottom