Search results

  1. S

    CCM nambari wani

    nakubaliana na wewe kwa 100%.
  2. S

    Maamuzi magumu yaliyowezekana Ziwa Victoria ila yakashindikana Ubungo

    Kung'oa kucha na meno ya Dr.Ulimboka
  3. S

    Tunu za taifa uwazi na uwajibikaji

    SIYO SISI WANANCHI TU, BALI HATA Baba wa Taifa Mwl Nyerere CCM INAMUONA HAKUWA NA AKILI ENZI ZA UTAWALA WAKE KWA KUWEKA Maadili Ya Viongozi NA Azimio La Arusha. NAOMBA AJE MWANAccm YEYOTE AKANUSHE KWA HOJA HAPA KUWA JKN ALIKUWA NA AKILI PUNGUFU ZAIDI KULIKO CCM YA LEO INAYOKATAA Uadilifu, Uwazi...
  4. S

    Waungwana nauliza nini maana ya msukule au mtu kuitwa msukule?

    KWA TAFSIRI YA KISIASA KWA MUKTADHA WA TANZANIA: msukule ni mtu yeyote anayetetea kwa nguvu sana siasa zote chafu zinazofanywa na CCM dhidi ya umma wa walala hoi wa nchi hii.
  5. S

    Mratibu wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA( TUGARA NI JANGA) (Simung'unyi)

    MLETA UZI NI MFUASI WA ZZK NA KIKUNDI CHAO CHA ACT. Angekuwa ni mwanachama mzalendo angetumia njia za kiitifaki kuwasilisha lalamiko lake kwenye mamlaka ya juu ya chama
  6. S

    Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

    thibitisha pasipo na shaka juu ya mbatia kuhongwa na mengi, VINGINEVYO NA WEWE UNATETEA UDHALIMU WA CCM DHIDI YA WAZAWA WA NCHI HII.
  7. S

    BAVICHA TAIFA Yatoa Onyo na Tamko Kali!

    zihurumie mbavu zangu mkuu.
  8. S

    CCM na UKAWA Walimwa Barua

    Gazeti la Tanzania Daima kupitia ITV Magazeti asubuhi hii limesomwa na kuoneshwa kicha cha habari kwamba "UKAWA na CCM walimwa barua". Huku Songea hatupati mapema magazeti hayo, hivyo mwenye nakala ya gazeti hilo atubandikie hapa tuone ni mamlaka ipi imetoa barua hiyo kwa ccm na UKAWA.
  9. S

    Tundu Lissu akataa kununuliwa ili awasaliti UKAWA na CHADEMA

    INAVYOELEKEA KIZAZI CHA AKINA YUDA ISKARIOTI WAMEJAA SANA MWAMBAO WA ZIWA TANGANYIKA. Mh Lissu ni kielelezo tosha cha uzalendo na umakini wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla
  10. S

    Tundu Lissu akataa kununuliwa ili awasaliti UKAWA na CHADEMA

    WAZALENDO KAMA Dr.Slaa, Mbowe NA Tundu Lissu NI WACHACHE SANA DUNIANI. ILA UKOO WA Yuda NI WENGI MNO, MFANO J.Shibuda, Hamad Rashid, ZZK, JeiKei N.K
  11. S

    Tundu Lissu akataa kununuliwa ili awasaliti UKAWA na CHADEMA

    Mkasa kama huu uliwahi kumkuta pia Dr.SLAA ukiongozwa na Yusuf Makamba, hata hivyo Daktari huyo bingwa wa siasa makini nchini aliwakatalia CCM
  12. S

    Serikali ya Umoja wa kitaifa ya Zanzibar itavunjikia Dodoma!

    unapokuwa na mume aliyelaaniwa, mume asiyeheshimu mawazo ya mkewe, dawa yake ni talaka tatu tu. Ndoa hii imeishiwa mapenzi ya dhati baina ya wanandoa wenyewe ugenini, watakaporejea nyumbani kila mmoja atakusanya vilivyo vyake na kuihama ndoa hiyo, yetu macho na masikio
  13. S

    Arusha BILA G. Lema ni Neema na Baraka

    LEMA TUNAMKUBALI HADI HUKU Mwakaleli NA Itumba
  14. S

    CHADEMA yazidi kusarambatika, baadhi ya ofisi zafungwa na zageuzwa maduka

    HATA Malinyi NA Mtimbira BADO KIDOGO OFISI ZA CCM ZITAFUNGWA RASMI KWAKUWA HADI SASA MAKADA WAKE WAMEKERWA SANA NA MWENENDO WA MBUNGE WA ULANGA Dr.Haji Mponda KWENYE BUNGE LA KATIBA
  15. S

    Mizengo Pinda: Bunge Maalum la Katiba laweza kuahirishwa hadi mwakani

    NA NDIO MATOKEO YA SHERIA MBOVU YA MABADILIKO YA KATIBA KAMA ILIVYOSHINIKIZWA IPITE NA UWINGI WA WABUNGE WA CHAMA CHAKO CHA KIJANI CHINI YA Wassira NA Werema KWA NIA YA KULINDA MASLAHI YA MTAA WA Lumumba NA SIYO YA Taifa
  16. S

    Mkutano mkubwa wa CUF tar 26/03/2014 kudai nchi yao...

    HATA WAKENYA WANA NDUGU ZAO KULE America au USA Mfano Rais Obama LAKINI BADO HAYA NI MATAIFA MAWILI TOFAUTI. TANGANYIKA IKIREJEA HAIMAANISHI HAWA WAPEMBA WATAFUKUZWA
  17. S

    Pamoja na JK kuhutubia Nchi juuu ya Rasimu kumbe watanzania wanataka Serikali ya Tanganyika ?

    BILA KUIASI SERIKALI YA CCM NA KUANZA KUITAFUTA Tanganyika KWA MTUTU WA Bunduki KAMWE HATUTALIPATA TAIFA LETU ZURI LA Tanganyika
  18. S

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    NASUBIRI KUSIKIA HOJA NZITO, NA SIYO MIPASHO NA KEJELI LEO KWENYE HOTUBA YA MR.DHAIFU KWENYE BMK DODOMA. MARA ZOTE TANGU MWANZO HOJA ZETU TUNAODAI TANGANYIKA YETU NI NZITO NA ZINA MASHIKO YA KIUTAFITI WA KISAYANSI ZAIDI, HOJA ZA WANA-CCM WALIO WENGI(wapinga Tanganyika yetu) NI ZA HOFU, MAZOEA NA...
  19. S

    Wako wapi wale waliokuwa wakidai Zanzibari yao kwa matusi na vidumu vya tindikali?

    Hapo nimekuunga mkono, yaani jamaa wamenywea ile mbaya. Serikali 3 hazikwepeki awamu hii
Back
Top Bottom