Search results

  1. B

    Kafulila alipomkosoa Wangwe kuhusu 'Nidhamu na demokrasia'

    nadhan CHADEMA ni slaa without him count t dead.
  2. B

    Machali anavyomchana Kafulila

    sina uhakika kama kafulila kafulia ila nachodhani NCCR hawakutakiwa kukata kijanja baada ya kuona dogo kaharibu kama kijana wao wlitakiwa wamweke chini wamfunde na wampe second chance na muda wakumsoma nyenendo zake ma sidhan kama kafulila kwa hali aliyokuwa nayo siku ile angepata msamaha...
  3. B

    Kuna dada humu nimetokea kumpenda vibaya mno

    kweli unahitaji kusaidiwa nwy nitakusaidia nipe her phone namba.
  4. B

    Nikimwambiaga nimechoka ni kesi! Nipeni ushauri!

    ujue inashangaza hv me nilijua nataka nishauri mwanamke kumbe mtoto wa kiume? hii sijaipenda kabisa hasa ile eti anakata mkwanja pole sana
  5. B

    Regia alikuwa anaendeshaje gari? Wakati mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu?

    hilo swali me mwenyewe nilijiuliza sana sana bt nikaamua kujipotezea mwenyewe nikijua wanajf watanipa majibu cku moja ila naona leo naellekea kulikosa mana bigirita hajapendezwa nalo ni sawa kabisa acha tumhifadhi mwenzetu then tutajua.
  6. B

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    watanzania msimtegemee mungu atende muujiza wakati mnaakili na nafsi hai kuweza kutambua nn cha kufanya watanzania wenzangu tuamke tufanye kitu kwa ajiri ya mama yetu tanzania anayelia kila siku kwa mateso ili hali vijana wake tupo tunamtegemea mungu afanye wakati tumelala. ni wakati tuamke...
Back
Top Bottom