Search results

  1. SAMMY DANNY

    TAHARUKI, KISUTU: Hitilafu ya Umeme yawakimbiza watu Mahakamani

    Leo Luna kesi ya Halima Mdee ile kumkashifu rais na Halima yupo. Leo ulinzi umeimarishwa sana hapa Kisutu. Watu wote wanakaguliwa getini.
  2. SAMMY DANNY

    TAHARUKI, KISUTU: Hitilafu ya Umeme yawakimbiza watu Mahakamani

    Kufuatia mvua kubwa inayonyesha jijini Dar es Salaam imesababisha hitilafu ya umeme katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu. Hifilafu hiyo imetokea katika chumba kimoja cha Mahakama na kusababisha mlipuko mkubwa ulioambatana na moshi. Inadaiwa chumba hicho kinatumiwa na Jaji Mashauri. Mlipuko...
  3. SAMMY DANNY

    CCM wakiri kukosa matokeo waliyotarajia uchaguzi wa marudio Kinondoni

    Mwaka 2015 Mtulia alipata kura 70,337 huku Idd Azan akipata kura 65,964. Idadi hii ya kura inatengeneza jumla ya wapiga kura wa Chadema na CCM 136,301. Jana (JUMAmosi) Mtulia kapata kura 30,247 hata nusu ya Kura alizopata 2015 hazijafikia. Huku Salum Mwalimu akiambulia kura 12,353. Jumla ya...
  4. SAMMY DANNY

    MIMBA ZA UTOTONI: Wasichana wanapogeuka wakimbizi katika nchi yao

    Dah! Stori ya huyo binti inasikitisha sana. Nani atawalinda mabinti hawa na dhuruma za kingono katika umri mdogo. Mbaya zaidi aliyempa mimba kakimbia. Jamii tuwasaidie hawa wasichana kurejesha matumaini yao na kufikia ndoto zao. Inawezekana kama tutatambua wajibu wetu wa kuwalinda na kuwawekea...
  5. SAMMY DANNY

    Chaguzi Ndogo zinataka kutuvuruga

    Lazma tubadili namna ya Siasa zetu mapema sana zinataka kupevuka na kupata sura nyingine ambayo hatukuizoea. #CHADEMA kwa CCM ni kama mtoto alizaliwa, ametambaa, amesimama na sasa anataka kupevuka na kuwa mtu mzima. Namna ya kumlelea mtoto ni tofauti na namna ya kumlelea mtu mzima aliyepevuka...
  6. SAMMY DANNY

    Warioba: Mimi na Salim urais basi

    Tukiendelea kupanda mbegu ya udini tujionea madhara yake siku za usön. Tunamchagua kiongozi kwa uadilifu na uzalendo ktk taifa na sio anatoka dini gani. Mnakuja na hoja ya udini mmelemazwa na ombwe la watawala ambao wanatumia udini kma tiket ya kuingia madarakani. Tubadilike la sivyo...
  7. SAMMY DANNY

    Uzinduzi wa chadema katika picha

    tatizo sio umati wa watu bali ni watu kwenda kupiga kura kumchagua kiongozi makini, muadilifu na muajibikaji.
  8. SAMMY DANNY

    Kauli inayomgharimu Hadji Mponda dhidi ya Madaktari

    waziri kujiuzuru ni busara zake lakini hawa wagonjwa wanaoteseka nani atawasaidia, hivi madaktari walipogoma hatukujifunza kitu pamoja na yote hayo tuweke uzalendo mbele. Na sababu nyingine serikali yetu sasa haiaminiki kwa kauli zake ingeonyesha nia ya kutekeleza madai yao naamini hao jamaa...
  9. SAMMY DANNY

    Haya sasa, nchi ya migomo, mambo hayaendi kabisa!!

    MSTAKABALI WA TAIFA LETU UKO MIKONONI MWETU NI SULA LA KUCHAGUA KUENDELEA NA HALI HII AU MABADILIKO. Tukiamua tunaweza
  10. SAMMY DANNY

    CCM na CHADEMA nusu wazipige Arumeru

    you information is interesting and politics sasa imefika pabaya hata katika misiba! we need political torrelance between the parties.
  11. SAMMY DANNY

    Maandamano ya CCM kumsindikiza Sioyi kuchukua fomu LIVE

    ccm ushindi ni lazima hata mpige kelele gani jimbo letu
  12. SAMMY DANNY

    Sababu zitazoifanya CCM kuibuka kidume Arumeru Mashariki!

    ushindi wa kishindo ni lazima tayari mzee wa ukweli na uwazi ataongoza jahazi arumeru hatutaki kelele subirini moto wa Mwigulu Nchemba aliye wamaliza kule igunga.
  13. SAMMY DANNY

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    MAneno mengi na kujihakikishia ushindi wakati wameru hawajafanya uamuzi sio vizuri lakini jamma wa sisi em si mnajua tabia zao mtaona kitakachotokea lakini jipeni moyo labda mnaweza kufanikiwa
  14. SAMMY DANNY

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    Tatizo sio watu wenye majina makubwa, imejipinga kisera kuwashawishi wa Meru au maneno tu, uchaguzi tuwaachie wana Arumeru mashariki kwani wao wataamua na kufanya maamuzi. Mbwembwe za JF hazitabadili mambo!!
  15. SAMMY DANNY

    Orodha Ya Wabunge/Mawaziri walioshindwa Kutekeleza Ahadi na Ulegevu wao Majimboni

    Mliyataka wenyewe lazima mkubali machungu mpaka 2015, sasa hamna haja ya kuongea maana wananchi walengwa hawajachoka na wana waamini wabunge wao.
  16. SAMMY DANNY

    Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Nawakubali kwa sababu bila wao leo usalama wa nchi ungekuwa pabaya, licha ya mapungufu waliyonayo bado wanahitajika nao ni watanzania lazima tuwakubali kwa sababu wengine ni baba na ndugu zenu.
  17. SAMMY DANNY

    Mbunge wa Chadema kumbe makazi yake ni Marekani anakuja Tanzania bungeni

    tatizo sio kukaa Marekani, kama ni raia watanzania ana haki ya kwenda popote anapotaka, acheni uzushi usio na facts, tuchape kazi tujiendeleze mkiwategemea wabunge imekula kwenu.
  18. SAMMY DANNY

    Nape: Mleteni Slaa Arumeru, Asema CCM wanakesha wakiomba aruhusiwe

    Nape ajui kuwa Slaa ana kisimat umaarufu wake hauwezi kushuka kwa ubunge wa Arumeru, anaogopa kiama cha si si em iwapo Dr. atagombea 2015. Tayari homa ya uchaguzi 2015 ishampanda na anajua kitakachotokea ktk chama chake ndio maana anajihadhari mapema.
  19. SAMMY DANNY

    Madaktari 38 waondoka nchini

    how sure you are to resemble the greatest Preacher with a tortoise au kwa sababu amekaa kimya acha dharau wewe........... be honest image if it would be your father.
  20. SAMMY DANNY

    Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

    Hii ndio politics, tatizo sio kusalimiana, Regia kasindikizwa mbele ya haki tusonge mbele na mapambano ya kuikomboa nchi. Suala la JK kuhudhuria msiba ati kuzima machungu ya katiba kwa CDM huenda lina ukweli tusilipuuze. Jana mbunge CCM kafariki basi na huko tushiriki kwa wingi kama kwa CHADEMA.
Back
Top Bottom