Search results

  1. C

    Wazungu wanaupendo kuliko waafrika ...

    It always greener on the other side. Wadhungu ni macheater na kwao to have a fling is normal. Nakumbuka mmoja aliniambia am married and i can have affair if i want and ofcourse have had affairs before.
  2. C

    Tabia Zisizopendeza Kwa Mwanaume Akishalewa.

    Pombee usipime.jua your limits. Wengine du wanaongea sanaa tena rubish
  3. C

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    Na ngurue wachinje basi. Tz ni nchi huru, dini si kigezo kwa swala hili. Yeyote yule bila kujali dini anaweza kuchinja. Pinda pinda na wenzake wanaishindwa nchi. This is time ticking bom
  4. C

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Nchi hii yaenda pabaya. RIP.
  5. C

    Elections 2010 Ukiona kwa Michuzi na Mjengwa kimya, jua mambo magumu CCM

    Hata mimi nimeacha kuangalia michuzi siku nyingi. KIMYAAAAA.
  6. C

    Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

    Being a bright bloke Lenin sits down and furiously starts scribbling away on a master plan to build a can opener. But he faints from hunger before the plans are completed. A sigh of disappointment escapes from everyone's lips.
  7. C

    Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

    Acha kutishia watu, watanzania niwapenda amani. CCM ndo italeta vurugu na udini.
  8. C

    Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

    Kalale JK, Your time is up. Umezugaaaa we mpaka muda umeisha.
  9. C

    Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

    :A S angry: This guy should not have been a president at first place.
  10. C

    Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

    Eti anachukia Rushwa, wakati amekumbatia TAKUkuURU. Mnamsikia huyu jamaa, hata hamuogopi Mungu.
  11. C

    Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

    Ahadi hewa. Kazi milioni moja zilioenda wapi?
  12. C

    Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

    Jamaa ni misada tu anaongelea, hana sera, tunataka pesa zetu zifanye ya huduma. Jamaa ni kilaza kweli. Haoni aibu kusema eti kutibu mafisadi dollar milion saba. Sasa sisi walala hoi tutafanya nini na ndo tunalipa kodi. It is sad
  13. C

    Huyu Ndiye Makamba

    Huyu makamba anazeeka vibaya. Siamini. Viongozi kwanza then wananchi. Du kweli CCM CHUKUA CHAKO MAPEMA.
Back
Top Bottom