Kwa hiyo nchi kupata fedha ya kigeni tafsiri yako ni mpaka mkulima apewe Dollar bill au Pound?
Kama walikuja na hiyo pesa ya madafu toka arabia wakampa mkulima basi nakubaliana nawewe.
Ila kama ujio wao au wateja wao waliopo nje kwa namna yeyote wametuma fedha basi kuna conversion ilifanyika...
Yes ina support,ndio uzuri wa AMD motherboard socket zina support processor za gen nyingi tofauti na intel kila generation inabidi ununue motherboard mpya, kwa amd unabadili tu processor.
Ping kwa TTCL kwangu huwa inachezea hapa 12ms
Ila kumbuka hii ni shared connection sio dedicated, kwa hiyo idadi ya customers inaweza pia affect ping speed.
Vyanzo kutoka mitandaoni
As of june 2022 kenya electricity capacity imefikia 3074MW
Kwa Tanzania report za mwaka 2021 zinaonyesha tulikua na uzalishaji wa 1605MW
sijui takwimu halisi kwasasa zinasomekaje.
Ninachojua vipaumbele vyetu kwenye mambo ya msingi ni hafifu sana.
Hili tatizo lipo...
Bora hata huko kwenye kampuni unaondolewa lakini unabaki hai, Kwenye partnership biashara ikiwa kubwa sana na kwa bahati mbaya ukawa umeungana na mtu mwenye tamaa kuliko utu, jiandae kwenda na maji, unaimbiwa parapanda mapemaa.
Katika miradi mikubwa huwa tunakadiria miaka 20, 50 hata 100 mbele.
Kila siku mnalalamika shida ya maji dsm, na miundo mbinu mingine?
Unapojenga mradi unatakiwa uwe future proof walau kwa miongo kadhaa.
Leo unajenga barabara ndogo baada ya miaka 3, traffic inakua kubwa mnaingia gharama ya...
Anaweza kupokea awasiliane na wahusika kama ni bank au mitandao ya simu.
Kwa case za refunds, pesa hurudi ila haziingii moja kwa moja mpaka uwasiliane nao uwape taarifa za hizo refunds kisha wana release.
Umeme utapata ila sio sufficient wa kufanya chochote kile cha maana zaidi ya kuwasha LEDs.
Na zipo product tayari sokoni, zinazowashwa kwa mfumo huo umeeleza, zinafungwa mabafuni kama urembo tu.
https://youtube.com/shorts/-M_BFKZ2DBw?si=ry3wNn5fYr3l1wEJ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.