Search results

  1. M

    Elishilia kaaya kuwa mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki !?

    Members, mie pia nimeshatabiri siku kadhaa kuwa ni EK sasa. Ila sipendi sisiemu wapate hilo jimbo. CDM wamtafute mtu muhimu wa kuchukuwa ili Arusha iwe 3/4 kwani kwa sasa sisiemu wana Ngorongoro,Longido, Monduli, Arumeru magharibi na Arumeru mashariki iliyoachwa wazi ingali CDM wana Arusha mjini...
  2. M

    Hivi hii ya serikali nzima kuhamia kwenye mazishi imekaaje?

    Mie naona si sahihi kusema lazima ashiriki kwani rais ni wa Watanzania wote lakini hawezi kushiriki kila msiba. Huwa kuna kuwakilishana! Spika na naibu wake,rais na makamu wake inakuwaje?
  3. M

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Mie nafikiri ccm imekosa mwelekeo sasa! Kuna kahoja wana JF walisema JK amemfanya kila mtu ajione anaweza kuwa rais wa TZ. Mimi naona kwa swali lako la kuwalinganisha EL, membe na Nyalando, EL ni bora mara kumi mara elfu.
  4. M

    Hivi kwa hii hali Dr Slaa ni kiongozi wa serikali au ni katibu mkuu wa chama cha siasa tu?

    Mie naunga mko hoja iliyowahi kutolewa mwaka jana kwa JK ni wa NEC-uchaguzi na ANATAWALA akiwa ikulu wakati Dr.Slaa ni rais wa wananchi na ANAONGOZA akiwa nje ya ikulu
  5. M

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    napenda tu kuweka kumbukumbu sawa kuhusu hoja yako. EL kwanza hakufukuzwa na JK.Nyerere. Wakati huo JK.Nyerere hakuwa rais bali Mwinyi ndiye rais wa Jamhuru ya Muungano wa TZ. Kwa hiyo kama kufukuzwa basi ni Mwinyi. Pia hakufuzwa bali alipandishwa cheo kuwa waziri mdogo ktk ofisi ya waziri mkuu...
  6. M

    Lowassa ndani ya Kigoma

    Nakuunga MIKONO NA MIGUU kwa kutoa mifano HAI KABISA
  7. M

    Lowassa ndani ya Kigoma

    Nakubaliana 100% kuwa huku ndugu siyo Waziri Mkuu Mstaafu. Na siyo yeye tu hapana! Mpaka sasa tukubali kwamba kuna tofauti kati ya KUJIUZULU na KUSTAAFU ( resignation and retired). Kwa mawaziri wakuu walio hai hadi leo tukubaliane kwamba waliostaafu ni Sumaye; Salim; Msuya na Warioba. Kwamba...
  8. M

    Udsm inaelekea wapi? Barua hiyo soma mwenyewe na utoe maoni yako

    Mimi nafikiri kwa sasa mgt ya UDSM wanakwenda pabaya,wanalalamikia hao wanafunzi si wapewe? Wasitumie misuli kutatua tatizo la kutumia akili. Mtu anaposema jambo hadharani ni kwamba anatafuta audience. MGT tumieni akili za kuona mbali msiwe wanasiasa wa kutazama 5years forward.
  9. M

    Mshahara wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri na Watendaji Wakuu Serikalini

    Hello members of the HOUSE good evening! Thank u very much for welcome me to this house of Thinktanks. Based on the matter at hand, this people are paying using our money hence its our legitimate right to know how are they being paid. So bring their scales on board for discussion
Back
Top Bottom