Search results

  1. M

    Sababu za kurejesha uhusiano na Israel hazina mantiki

    Eti ni waisrael 144, 000 tu!!!!!! Braza biblia ni msitu mnene haisomwi kama gazeti. Ukisoma mwanzo 13-18 utakuta Mungu anamwambia Ibrahimu uzao wako utakuwa kama mchanga na nyota mbinguni. Mtu akiweza kuhesabu mchanga bac ataweza kuhesabu hata idadi ya uzao wako. Unachotakiwa kufanya ni kidoma...
  2. M

    UVCCM Mkoa wa Arusha wamnyamazisha Ulimwengu

    Haya tumesikia!!
  3. M

    Vyeti vimeokotwa vya Joyce Emmanuel

    Kuna dada anaitwa Joyce emmanuel yesse kapoteza vitambulisho vyake vimeokotwa maeneo ya posta. Kuna kitambulisho cha chuo ardhi university anasoma environmental science and technology pia kitambulisho cha uraia na vitambulisho viwili vya bima ya afya. Kwa yeyote anayemfahamu amwambie afike...
  4. M

    Kuelekea kuwa chama cha Upinzani: CCM andaeni Lissu wenu

    Wanawadanganya watu wanaojaa kwenye mikutano, kama ndivyo mrema angekuwa rais 1995. Ukweli ni kwamba kuwa chama kikuu cha upinzani si kazi ndogo, tambua kuwa kuna watanzania wasiojua hata uwepo wa act. Lakini yote heri kazen buti ss watazamaji tupo na tutashuhudia
  5. M

    Kuelekea kuwa chama cha Upinzani: CCM andaeni Lissu wenu

    Wewe ni msomi wa aina gani usiyeweza kujenga hoja bila kuandika matusi, ukitaka watu wakuelewe jenga hoja ueleweke. Sasa ww unaandika matusi ndiyo maana wenzako wanasema unatumia ID fake, huwezi andika matusi hayo kama unafahamika kwa kuwa ndugu zako watakushangaa
  6. M

    Kuelekea kuwa chama cha Upinzani: CCM andaeni Lissu wenu

    Hakika ww unastahili kwenda milembe, ivi unafikiri mtu aliyeelimika anapimwa kwa cv. Unachokiandika hapa kinathinitisha utahira wako hata kama ww ni prof.
  7. M

    Kamati Kuu (CC) itakuwa na kazi nyepesi sana

    Nakukubali sana mzee wa tupa tupa
  8. M

    Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    Hatuwataki wanaoabudu matambiko. Kwenye tukio mhimu kama hili unakaribisha watu wa matambiko? Hakika huku ni kukosa matumaini. Hatutaki rais wa wachawi tanzania
  9. M

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Mhongo ni mtu wa majigambo sijaona chochote alichosema hapo zaid ya kujisiifu
  10. M

    Kangi Lugola kumuunga Lowassa; Lowassa ni Serikali 3?

    Binafsi kwa logic ya kawaida kabisa sioni uwezekeno wa lowasa kukubali katiba ya sitta
  11. M

    Ridhiwani Kikwete ampigia Membe kampeni bungeni

    Kwa kweli wabunge wanatakiwa kuwa makini sana na kauli zao hasa katika kipindi hiki. Liziwan hakutakiwa kuweka msimamo wake hadharani wakati anatambua kabisa baba yake ni rais. Hii inaleta maana kuwa huo ndio msimamo wa baba yake. Upepo wa kisiasa hubadirika hivyo ni vizuri kuwa na uangalifu wa...
  12. M

    Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya I

    Haki sawa mm sina ugomvi na mtu ila nataka uniambie mtu mwingine unayefikiri anafaa. Acha siasa
  13. M

    Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya I

    Nimesoma post nyingi sana hapa jf za kumkubali na kumkataa mh. Lowasa. Ila cha ajabu wanaomkataa lowasa hawasemi ni nani hasa anaweza kuchaguliwa ndani ya ccm mwenye uwezo wa kuchuana na upinzani. Inaonekana maji yamewakaa shingoni hawana la kusema. Sasa tuwe wawazi semeni sasa nani ni mbadala...
  14. M

    Madereva: Bila Waziri Mkuu kufika Ubungo Bus terminal mgomo kesho kuendelea

    Akiiangusha selikali tena nahamia act.
  15. M

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Hapa ni kupotezeana mda tu, hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kuleta mambo ya kidini kwenye selikali isiyokuwa na dini, labda awe kama pinda na wenzake. LAKINI MIMI NAWAAMBIENI KWELI HAKUNA MAHAKAMA YA KADHI ITAKAYO PITISHWA NA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA KUWA NAAMINI...
  16. M

    Wakristo wasilalamike kwani mahakama za kawaida zinatumia sheria za kikristo (canon court)

    Ninakubaliana nawe miamia, kama selikali wamuamua kujichangaja na kuanza kushughulika na mambo ya dini kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 77 ni vyema sasa wakashughulika na mambo ya dini zote, hata waluther, anglican nk watadai mahakama zao, lakini naamini Mungu hataruhusu hili...
  17. M

    Muhongo kaondoka CCM inameremeta Ushindi wa kishindo kama jadi.

    Ewe mjinga usiye na akila hata kidogo ya kutambua ni nini kinaendele hapa Tanzania, ivi kweli Unafikiri tatizo la nchi hii ni mhongo? Think twice
  18. M

    CAG: Vitabu vya mahesabu vya CHADEMA vina tofauti na kasoro

    Qualified opinion is not equal to adverse opinion, mleta maada kama hujui hati chafu kaa kimya. Kwa taarifa yako hiyo ni hati yenye mashaka. Rekebisha heading haraka sana acha kupotosha
  19. M

    Sheria ya kukifungia CHADEMA iko wapi?

    Your brain is rotten
Back
Top Bottom