Search results

  1. S

    kuna ukweli kuwa minara ya simu ina madhara kama ukiishi karibu nayo?

    saint nilishawahi sikia inahitajika kukaa umbali fulani na makazi ya watu kama ilivyo kwa nyaya za umeme zinazobeba umeme mwingi
  2. S

    kuna ukweli kuwa minara ya simu ina madhara kama ukiishi karibu nayo?

    naomba mnijuze hayo madhara na je kwanini tcra hawajali chochote kuhusu hilo?
  3. S

    jamani naombeni mnieleweshe maana ya 3G

    jibu ni lipi wakuu eti?
  4. S

    Simu za Kichina

    me natumi vodacom wangu naomba msaada nami
  5. S

    hivi wanaoiba katika benki kwa kutumia mtandao wanatumia njia gani?

    samahani wakubwa naomba nipate japo ujuzi na utaalamu wanaotumia hawa watu wanaoibia benki mbalimbali hapa nchini wanatumia njia gani maana naona hata benki zipo kimya zinaogopa hao watu,
  6. S

    free web hosting kwa wanafunzi

    hata mi naweza kumiliki?
  7. S

    Mgao wa umeme rasmi waanza

    upo nje ya jiji, hilo sio tatizo ni hali ya kawaida, njoo mikocheni full mwanga
  8. S

    Movie za Blu-ray 3D

    mkuu ulaya ya wapi hiyo internet bure wangu, eleza vizuri,.
  9. S

    Ufahamu operation system ya simu

    hiyo symban ni nini? na android ni nini mkubwa,? naomba nipe elimu
  10. S

    Return your lost phone...

    kwa simu hizi hizi za kichina au orijino?
  11. S

    Msaada:jinsi ya kuwa mpelelezi wa taifa

    kwanza mpaka hapo umeshashindwa vigezo vya kuwa usalama wa taifa , chochcote kile kinatakiwa kiwe moyoni mwako peleleza kimya kimya utajua kila sehemu na makao yao makuu, mtihani wao wa kwanza ndio huo.,.,.,
  12. S

    jamani naombeni mnieleweshe maana ya 3G

    nasikia kila siku hili neno naombeni mwangaza
  13. S

    Airtel 3.75 ~ gprs,edge?

    jamani nisaidieni hyo 3G ni nini kwani?
  14. S

    natafuta mchumba namba angu hii hapa

    natafuta mchumba wa kuwa nae kiukweli nijibu
Back
Top Bottom