Search results

  1. K

    Ujenzi wa nyumba mpya Kaloleni Mbunge Lema yuko sahihi

    long live Mh Lema mradi wa kaloleni usiruhusiwe kuendelea Arusha ndipo azimio la maadili lilipitishwa tuenzi AZIMIO LA ARUSHA kwa kukataa uwekezaji huu na mingine yenye sura ya rushwa na ufisadi Daima tusi mkubali meya huyu feki atekeleze azma ya hawa manyangau na mabeberu weusi wa nchi hii
  2. K

    Ujenzi wa nyumba mpya Kaloleni Mbunge Lema yuko sahihi

    hakika wakazi wa Arusha tusilaze damu Hawa sisiem wamesha zoeya kujifanyia mambo yao kwa manufaa yao. wamezidi kuuza na kula dili ya ardhi Mfano ni meya wa kipindi cha 2005-2006 alikuwa diwani wa kata ya kimandolu huyu jamaa aliuza kiwanja cha wazi pale Ngaranumbe a.k.a Kitiengare hakika...
Back
Top Bottom